TIASSA
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 3,103
- 3,950
Kuna uwezekano ukawa hauja athirika miaka mi tatu yote usigundue mabadiliko hata kidogo kwenye mwili wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mkuu! Sina la kukuambia zaidi ya kukuombea. Pia amini kuwa vyovyote vile majibu yatakavyokuwa, siyo mwisho wa maisha yako. Kuna dawa zinazotumika na wengi na zimeendelea kuwasaidia kuishi maisha ya kawaida. Ninajua umefadhaika sana lakini Mungu Ataendelea kukuongoza katika hili. Poleni sana wote, wewe, mchumba wako na huyo Malaika mliyempata!Naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.
Ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika, nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.
Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui, kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu, mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo, hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?
Kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke, tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe.
Nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa, bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili, nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu, nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko.
Ahsanteni
Nini wasiwasi, watu wamegundulika na ukimwi tangu 1997 hadi leo wanadunda wanakula maisha kama sio wao, wewe hujapima pressure juu, kapime ukikutwa nao anza doze hakuna tatizoNaandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.
Ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika, nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.
Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui, kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu, mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo, hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?
Kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke, tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe.
Nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa, bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili, nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu, nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko.
Ahsanteni
We nenda peku si bure unaweza kukutana naoKumbe ukimwi bado upo.
Hapana siwezi kuchepuka,wife ananitosha kwa kila kitu.
mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.
Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui