Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 616
- 983
Ukiwa nayo unaweza kuwavizia panya road ukatandika mmoja mmoja
1.Sema Manati kwa kiingerezaAjabu kwangu si upande wa silaha. Chochote kile ni silaha hata Mavi yanaweza kuwa silaha dhidi ya adui ila hayauzwi.
Back then jamaa akazingua kwenye klabu flan cha Gongo klabu kikaacha kukalika na wateja kadhaa wakakimbia bila kulipa. Mwenye klabu akaita polisi jamaa alivyoona polisi akaenda choo jiran na kujipaka Mavi mwili mzima polisi wakamuacha. Sijui ikiwa walimtafuta kwa muda mwingine akiwa kaoga na kubadili pamba zingine, sijui.
ajabu yangu Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kuuza manati? 🙁
Ni urembo wa nini?Wengi huzinunua kama urembo, hata mimi ninayo
Mm mwenyewe nilishanga Kama wee Kuna mam nimemkuta nae anauza Happ keko sokoni pmj na majiko ya mkaa ilibidi nimuulize za Kaz gani wakt huku Hakuna mdege wa kuwalengaLeo katika trip zangu za kila siku nimekutana na mtu anauza manati kwa kutembeza.
Ndiyo,kazi ni kazi shida ni yangu ni kwamba kwa nyakati hizi kuna wanunuzi wa hivi vifaa kweli?. Hata uko ancestors times hazikuwai uzwa ilikuwa ni kutengeneza wewe mwenyewe.
Ninaona kabisa omba omba ana uhakika wa kumeki chochote kwa siku kuliko huyu jamaa.
Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kutembeza manati kitaa?.
Nje ya mada. Kilimo cha tikiti na ufugaji wa kwalevinalipa.
View attachment 2221716
Wapo wengi tuu mbonaLeo katika trip zangu za kila siku nimekutana na mtu anauza manati kwa kutembeza.
Ndiyo,kazi ni kazi shida ni yangu ni kwamba kwa nyakati hizi kuna wanunuzi wa hivi vifaa kweli?. Hata uko ancestors times hazikuwai uzwa ilikuwa ni kutengeneza wewe mwenyewe.
Ninaona kabisa omba omba ana uhakika wa kumeki chochote kwa siku kuliko huyu jamaa.
Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kutembeza manati kitaa?.
Nje ya mada. Kilimo cha tikiti na ufugaji wa kwalevinalipa.
View attachment 2221716
Zinafaa sana kwa Panya Road...Leo katika trip zangu za kila siku nimekutana na mtu anauza manati kwa kutembeza.
Ndiyo,kazi ni kazi shida ni yangu ni kwamba kwa nyakati hizi kuna wanunuzi wa hivi vifaa kweli?. Hata uko ancestors times hazikuwai uzwa ilikuwa ni kutengeneza wewe mwenyewe.
Ninaona kabisa omba omba ana uhakika wa kumeki chochote kwa siku kuliko huyu jamaa.
Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kutembeza manati kitaa?.
Nje ya mada. Kilimo cha tikiti na ufugaji wa kwalevinalipa.
View attachment 2221716
mkuu mbona una nongwa sana na hiyo biashara huyo anayeuza hayo manati ndo anajua inamnufaisha vipi hadi ameyatengeneza maana yake wateja wa kununua ayo manati anao hivyo mkuu jifunze kitu ambacho wewe huna mahitaji nacho wala ukitumii haimaanishi eti kwa wengine haikihitajiki au hakina matumizi wapo wanaohitaji kile ambacho wewe unakiona cha kipuuzi au hakina maana ila kwa wengine hicho kitu ni lulu so usifosi mfanane..Sawa. Jaribu kuvaa uhuska wauzaji wa manati.
Kuna nyakati mambo usimama. Wewe kama wewe unaweza acha mkeo na watoto nyumbani ukaenda uuza manati kitaa?
Nani kakudanganya?.Mwenye kilabu Cha gongo hawezi kuita polisi
Kazi ni kazi ila kuna kazi zingine ni boshen ukikutana nae hautokuwa salama.mkuu mbona una nongwa sana na hiyo biashara huyo anayeuza hayo manati ndo anajua inamnufaisha vipi hadi ameyatengeneza maana yake wateja wa kununua ayo manati anao hivyo mkuu jifunze kitu ambacho wewe huna mahitaji nacho wala ukitumii haimaanishi eti kwa wengine haikihitajiki au hakina matumizi wapo wanaohitaji kile ambacho wewe unakiona cha kipuuzi au hakina maana ila kwa wengine hicho kitu ni lulu so usifosi mfanane..
😂😂Umeisikia hiyo! Ndio tukue pilipili ni kiungo mojawapo ndani ya chai
Then unaweza mruhusu mmeo akauze manati kitaa jioni aje na Sembe? 🙁Atakua ana wateja si bure
Mjini akili
As long as pesa ya halali fresh mbonaThen unaweza mruhusu mmeo akauze manati kitaa jioni aje na Sembe? 🙁
Baada ya kumpiga mzee watu mtama bar maksudi sa hivi una miliki manati nyumbaniNinayo pia nyumbani kama urembo japo kuna muda nikijisikia kufanya upuuzi nakaa nayo nje napiga kunguru.[emoji23][emoji23]