let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
Leo katika trip zangu za kila siku nimekutana na mtu anauza manati kwa kutembeza.
Ndiyo,kazi ni kazi shida ni yangu ni kwamba kwa nyakati hizi kuna wanunuzi wa hivi vifaa kweli?. Hata uko ancestors times hazikuwai uzwa ilikuwa ni kutengeneza wewe mwenyewe.
Ninaona kabisa omba omba ana uhakika wa kumeki chochote kwa siku kuliko huyu jamaa.
Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kutembeza manati kitaa?.
Nje ya mada. Kilimo cha tikiti na ufugaji wa kwalevinalipa.