Nimekutana na mtu anauza manati

Nimekutana na mtu anauza manati

Tambua manati ni Siraha ambayo ikitumika vibaya inauwezo wa kuua na ukishitakiwa kwa kosa la kutumia manati ktk shambulizi adhabu yake itakuwa sawa na siraha zingine

Soko lake kwa mjini hutumika sana na walizi especially wa usiku na wachache kutumia nyumbani kama siraha au shambani kwajili ya kuhamia ndege, Ngedele nk lkn pia hii siraha inawatumiaji wachache wenye experience hasa legend kama sisi hawa wa mjini sio rahisi

Hakuna manati ya kuua mtu. Nyie watu wa dasilamu mmezidi kuwa midebwedo.
 
Leo katika trip zangu za kila siku nimekutana na mtu anauza manati kwa kutembeza.
Ndiyo,kazi ni kazi shida ni yangu ni kwamba kwa nyakati hizi kuna wanunuzi wa hivi vifaa kweli?. Hata uko ancestors times hazikuwai uzwa ilikuwa ni kutengeneza wewe mwenyewe.

Ninaona kabisa omba omba ana uhakika wa kumeki chochote kwa siku kuliko huyu jamaa.
Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kutembeza manati kitaa?.

Nje ya mada. Kilimo cha tikiti na ufugaji wa kwalevinalipa.

View attachment 2221716
Wewe Fata maisha yako hata akiuza nyeti zake wewe hayakuhusu
 
Leo katika trip zangu za kila siku nimekutana na mtu anauza manati kwa kutembeza.
Ndiyo,kazi ni kazi shida ni yangu ni kwamba kwa nyakati hizi kuna wanunuzi wa hivi vifaa kweli?. Hata uko ancestors times hazikuwai uzwa ilikuwa ni kutengeneza wewe mwenyewe.

Ninaona kabisa omba omba ana uhakika wa kumeki chochote kwa siku kuliko huyu jamaa.
Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kutembeza manati kitaa?.

Nje ya mada. Kilimo cha tikiti na ufugaji wa kwalevinalipa.

View attachment 2221716
Mimi lazima ningenunua
 
Watu wenye restaurant, maduka ya nyama na Samaki, caterers etc etc wanatundika manati sehemu mbalimbali ya maeneo ya bihashara zao kufukuza kunguru. Nimeona ikifanya kazi vizuri tu. Wengine wanafanya urembo tu
 
Labda hapo kwenye kunguru, kama ni kweli…. ngoja tumuulize Kunguru wa Manzese tujiridhishe.
 
manati inafaida kubwa sana dar manati ukiinunua ukifika nyumbani kama wewe unasumbuliwa na kunguru basi itundike waione kunguru wanakimbia hawakai kunguru anaogopa manati sana
 
Ajabu kwangu si upande wa silaha. Chochote kile ni silaha hata Mavi yanaweza kuwa silaha dhidi ya adui ila hayauzwi.
Back then jamaa akazingua kwenye klabu flan cha Gongo klabu kikaacha kukalika na wateja kadhaa wakakimbia bila kulipa. Mwenye klabu akaita polisi jamaa alivyoona polisi akaenda choo jiran na kujipaka Mavi mwili mzima polisi wakamuacha. Sijui ikiwa walimtafuta kwa muda mwingine akiwa kaoga na kubadili pamba zingine, sijui.
ajabu yangu Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kuuza manati? 🙁
Mwenye kilabu Cha gongo hawezi kuita polisi
 
Back
Top Bottom