Nimekutana na mtu anauza manati

Nimekutana na mtu anauza manati

Sasa rafiki kama hana wateja atauzaje hizo manati?Labda useme anatembeza.Ila ukweli mimi niliwahi kukuta mtu ananunua Tshs 1,000/=.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Sawa. Jaribu kuvaa uhuska wauzaji wa manati.
Kuna nyakati mambo usimama. Wewe kama wewe unaweza acha mkeo na watoto nyumbani ukaenda uuza manati kitaa?
 
Leo katika trip zangu za kila siku nimekutana na mtu anauza manati kwa kutembeza.
Ndiyo,kazi ni kazi shida ni yangu ni kwamba kwa nyakati hizi kuna wanunuzi wa hivi vifaa kweli?. Hata uko ancestors times hazikuwai uzwa ilikuwa ni kutengeneza wewe mwenyewe.

Ninaona kabisa omba omba ana uhakika wa kumeki chochote kwa siku kuliko huyu jamaa.
Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kutembeza manati kitaa?.

Nje ya mada. Kilimo cha tikiti na ufugaji wa kwalevinalipa.

View attachment 2221716
Picha nzuri, imetulia sema hayo makaratasi kwa poles yanaharibu sana
 
nje ya mada:

hadi leo wanyakyusa wanatoa nyungo tukuyu wanakuja kuuza dar
 
Binafsi na mpango wa kununua manati kwaajili ya kunguru(wanakula sana vifaranga vya kuku nyumbani) na Paka(wanapiga sana kelele usiku kwa kupigana ovyo).

Note: Naishi Dar.

Mkuu mujini Daresalaam kila kitu kina soko,jamaa sio mpuuzi kuzunguka na hayo manati.
 
nje ya mada:

huu ni mji gani?
Bariadi moja hiyo mzee.uku CCM IMETULETEA KICHEKO CHA MAENDELEO.

20220512_153855.jpg
 
Huku dar tunatumia kufukuzia kunguru na mapaka na ma mbwa yanayozulula hovyo. Weekend umetulia zako chini ya mti unakula bia mara kunguru kaja kakunyea unatumia manati kuwatimua pia wa wafugaji wa kuku paka wanasumbua sana manati ndio dawa yao
 
Mixer jamaa kabeba mikia ya taa iyo ndio dawa ya panyaroad mkimkamata mmoja mkimchapa na iyo anaacha wizi analudi shule mwenyewe
 
Huku dar tunatumia kufukuzia kunguru na mapaka na ma mbwa yanayozulula hovyo. Weekend umetulia zako chini ya mti unakula bia mara kunguru kaja kakunyea unatumia manati kuwatimua pia wa wafugaji wa kuku paka wanasumbua sana manati ndio dawa yao
Ooh. Sawa. Lakin we unaweza muacha mkeo/mmeo nyumbani na kuuza manati mtaani?. J
Kazi ya manati haijanizuvuruga ila muuzaji manati ndiyo shida yangu mimi.
Hii dhana ya ujasiliamali tumeipokea vibaya aisee.
 
Kwani muuzaji kakwambia ameoa?
 
Mleta mada unashangaa muuza manati.
Mbona kuna wauza Kondomu wanatembeza mtaani.
Kila kitu kina uhitaji na matumizi yake.
 
Back
Top Bottom