Nimekutana na mtu anauza manati

Nimekutana na mtu anauza manati

Mnawanyima ajira kwa kigezo cha uzoefu halafu wakijiajiri tena inakuwa nongwa...hivi mnatamani graduate wawe ombaomba ndio nafsi zenu zisuuzike nyinyi waja laana?
 
Mnawanyima ajira kwa kigezo cha uzoefu halafu wakijiajiri tena inakuwa nongwa...hivi mnatamani graduate wawe ombaomba ndio nafsi zenu zisuuzike nyinyi waja laana?
Graduates hii nchi haijawai ha salama aisee.😂

20220508_155501.jpg
 
Leo katika trip zangu za kila siku nimekutana na mtu anauza manati kwa kutembeza.
Ndiyo,kazi ni kazi shida ni yangu ni kwamba kwa nyakati hizi kuna wanunuzi wa hivi vifaa kweli?. Hata uko ancestors times hazikuwai uzwa ilikuwa ni kutengeneza wewe mwenyewe.

Ninaona kabisa omba omba ana uhakika wa kumeki chochote kwa siku kuliko huyu jamaa.
Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kutembeza manati kitaa?.


Nje ya mada. Kilimo cha tikiti na ufugaji wa kwalevinalipa.

View attachment 2221716
Nahitaji sana manati.
Ni ukweli ulio wazi tunakosa ubunifu.

Utakuta mwanaume mwenye afya njema anatembeza vitabu...Jesus Tanzania hii wangapi watanunua?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Lakini huyo yuko South Africa. By tge way, bora ya huyo kuliko mtu anayekaa kijiweni, kibaka, na kulalamika tu all the time.
 
Hivi Kitaani Kila Nyumba ikiwa na Manati5 Panya Road watakuwa hawakapata suluhisho kweli,Tuache Woga.
 
Ooh. Sawa. Lakin we unaweza muacha mkeo/mmeo nyumbani na kuuza manati mtaani?. J
Kazi ya manati haijanizuvuruga ila muuzaji manati ndiyo shida yangu mimi.
Hii dhana ya ujasiliamali tumeipokea vibaya aisee.
Pengune labda nikujuze kidogo,kuna watu wanafanya hizo biashara lakini hawazitegemei sana luendesha maisha yao,kuna wengine wanamashamba kwenye maeneo tofauti ambayo yapo karibu na Dar,unakuta biashara kama hiyo ya manati ni kipato cha ziada tu.
 
Manati kwa mjini unafukuzia kunguru au paka usiku au urembo tu inatosha
 
Nahitaji sana manati.
Ni ukweli ulio wazi tunakosa ubunifu.

Utakuta mwanaume mwenye afya njema anatembeza vitabu...Jesus Tanzania hii wangapi watanunua?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
😂😂 Vitabu tuna nunua ila shida ni kuvisoma. Nina vitabu shazi Ngwea kwangu ila sikummbuki mara ya mwisho kuvigusa achilia mbali kuvisoma
 
Back
Top Bottom