Nimekutana na mtu anauza manati

Nimekutana na mtu anauza manati

mimi nilinunua kwa huyohuyo jamaa huwaga yupo ata maeneo ya ofisi ya wilaya ya ilala

wazawa wa jamii ya kifugaji kitu cha kawaida sana hiko.
 
mi tangu nimkute mwamba fulani anakunywa chai asubuhi na mapema kwa ndizi (kisukari....zile za kulia wali) mbivu basi nimeamua kutoshangaa lolote kwa sasa!
 
Leo katika trip zangu za kila siku nimekutana na mtu anauza manati kwa kutembeza.
Ndiyo,kazi ni kazi shida ni yangu ni kwamba kwa nyakati hizi kuna wanunuzi wa hivi vifaa kweli?. Hata uko ancestors times hazikuwai uzwa ilikuwa ni kutengeneza wewe mwenyewe.

Ninaona kabisa omba omba ana uhakika wa kumeki chochote kwa siku kuliko huyu jamaa.
Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kutembeza manati kitaa?.

Nje ya mada. Kilimo cha tikiti na ufugaji wa kwalevinalipa.

View attachment 2221716
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwa kweli mwache awasaidie wale ndugu zetu wa "DASALAMU" wanaokimbizwa na panya road...

Wakiwa hata na manati watajilinda
 
Leo katika trip zangu za kila siku nimekutana na mtu anauza manati kwa kutembeza.
Ndiyo,kazi ni kazi shida ni yangu ni kwamba kwa nyakati hizi kuna wanunuzi wa hivi vifaa kweli?. Hata uko ancestors times hazikuwai uzwa ilikuwa ni kutengeneza wewe mwenyewe.

Ninaona kabisa omba omba ana uhakika wa kumeki chochote kwa siku kuliko huyu jamaa.
Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kutembeza manati kitaa?.

Nje ya mada. Kilimo cha tikiti na ufugaji wa kwalevinalipa.

View attachment 2221716
Kwa hiyo ndio ukaamua kunipiga picha bila ridhaa yangu😡😡.

Wewe unajuaje kama anategemea hiyo hiyo biashara pekee?

Je ulimuhoji akakupa hesabu anayoingiza kwa siku kwa kuuza hizo manati?
 
😂😂😂 Tafuta kazi nyingine, chief.hii inatia ukakasi sana. 😁
 
Back
Top Bottom