Nimekutana na mauzauza Moshi

Nimekutana na mauzauza Moshi

Ngoja pombe zikuishe utakuja kugundua kumbe hata moshi hukuenda upo kwenu makabe kwenye baa ya kaka yako masawe na umelala hapohapo na watu washakula kiboga
Hahahahaha, umenichekesha balaaa mkuu
 
Nipo mkoa wa Kilimanjaro kikazi, Idi imenikuta huku, nikasema nipate moja baridi bar ya jirani na hoteli nilipofika, nilikuwa mwenyewe kwenye Meza,Mara wakaja warembo wawili kukaa kwenye Meza yangu.

Muda ulivyozidi kwenda tukazidi zoeana, kama mtanashati nikawaagizia vinywaji, kwakuwa nilikuwa nimechoka Sana na kazi kwa siku ya Leo basi ilipofika saa nne nikawaaga kuwa nakwenda kupumzika.

Kuona hivyo wakaniambia kwamba kwakuwa Mimi Ni mgeni basi watanisindikiza mpaka nilipofika ili wanilinde, wakuu tulipofika barabara kuu nageuka sioni wale mabinti niliokuwa nao.

Nimeingia woga mpaka muda huu, ukizingatia kazi iliyonileta hapa Ni ya Siku 9 na hii ya 3.
Mkuu ulitumia kinywaji gani? Maana Kilimanjaro kuna aina nyingi sana za pombe hatari. Anyway usihofu watakua malaika walinzi
 
Nina wasiwasi ni mapopo bawa ukiamka asubuhi salama hawajalowesha mto sijui
 
Ngoja pombe zikuishe utakuja kugundua kumbe hata moshi hukuenda upo kwenu makabe kwenye baa ya kaka yako masawe na umelala hapohapo na watu washakula kiboga
Teh teh you made my day kwi kwi kwi
 
Nipo mkoa wa Kilimanjaro kikazi, Idi imenikuta huku, nikasema nipate moja baridi bar ya jirani na hoteli nilipofika, nilikuwa mwenyewe kwenye Meza,Mara wakaja warembo wawili kukaa kwenye Meza yangu.

Muda ulivyozidi kwenda tukazidi zoeana, kama mtanashati nikawaagizia vinywaji, kwakuwa nilikuwa nimechoka Sana na kazi kwa siku ya Leo basi ilipofika saa nne nikawaaga kuwa nakwenda kupumzika.

Kuona hivyo wakaniambia kwamba kwakuwa Mimi Ni mgeni basi watanisindikiza mpaka nilipofika ili wanilinde, wakuu tulipofika barabara kuu nageuka sioni wale mabinti niliokuwa nao.

Nimeingia woga mpaka muda huu, ukizingatia kazi iliyonileta hapa Ni ya Siku 9 na hii Ni ya 3.

Ni Pm nikufundishe dawa, ila utanilipa...........kama huwezi acha, siriaz
 
Labda hao wadada waliona hujaelewa somo. ...Bia sawa,Cash je?
Inavyoelekea waliona acha warudi ndani labda kuna kichwa kitakachowaelewa. ...kikazi zaidi. ..
 
hapana mkuu,

Ulevi mwingine hauna maana. Kweli wakusindikize na kukulinda kwa kuwa wewe ni mgeni mjini hapo. Hukushtuka wangekulindaje? Kunywa vinywaji vya maana kama whisky au brandy viroba utaota majini majini tu.Hizo zilikuwa njozi kabla hujarudi guest uliyofikia na hiyo ni alfajiri baada ya kukurupushwa na ka ubaridi ka alfajiri. Nani aliekudanganya majini yanatumia kilevi?
 
Kemea kwa jina la Yesu hakuna kitakachokupata. Fundisho, siku ingine usiongee na watu usiowajua!!
Nipo mkoa wa Kilimanjaro kikazi, Idi imenikuta huku, nikasema nipate moja baridi bar ya jirani na hoteli nilipofika, nilikuwa mwenyewe kwenye Meza,Mara wakaja warembo wawili kukaa kwenye Meza yangu.

Muda ulivyozidi kwenda tukazidi zoeana, kama mtanashati nikawaagizia vinywaji, kwakuwa nilikuwa nimechoka Sana na kazi kwa siku ya Leo basi ilipofika saa nne nikawaaga kuwa nakwenda kupumzika.

Kuona hivyo wakaniambia kwamba kwakuwa Mimi Ni mgeni basi watanisindikiza mpaka nilipofika ili wanilinde, wakuu tulipofika barabara kuu nageuka sioni wale mabinti niliokuwa nao.

Nimeingia woga mpaka muda huu, ukizingatia kazi iliyonileta hapa Ni ya Siku 9 na hii Ni ya 3.
 
Mkuu punguza woga alafu tuliza kihoro hicho

HUYU NI MZINZI tu na alikuwa kesha lewa wamemnywea malaya sasa wakati wanamsindikiza wakagundua hana kitu maana alitoa wallet ili abadilishe line ya simu aweke ya piga bure.. du kuona hivyo wakala kona
 
nipo mkoa wa kilimanjaro kikazi, idi imenikuta huku, nikasema nipate moja baridi bar ya jirani na hoteli nilipofika, nilikuwa mwenyewe kwenye meza,mara wakaja warembo wawili kukaa kwenye meza yangu.

Muda ulivyozidi kwenda tukazidi zoeana, kama mtanashati nikawaagizia vinywaji, kwakuwa nilikuwa nimechoka sana na kazi kwa siku ya leo basi ilipofika saa nne nikawaaga kuwa nakwenda kupumzika.

Kuona hivyo wakaniambia kwamba kwakuwa mimi ni mgeni basi watanisindikiza mpaka nilipofika ili wanilinde, wakuu tulipofika barabara kuu nageuka sioni wale mabinti niliokuwa nao.

Nimeingia woga mpaka muda huu, ukizingatia kazi iliyonileta hapa ni ya siku 9 na hii ni ya 3.

kipi cha ajabu wamekubuzzi halafu wamekutoroka
 
HUYU NI MZINZI tu na alikuwa kesha lewa wamemnywea malaya sasa wakati wanamsindikiza wakagundua hana kitu maana alitoa wallet ili abadilishe line ya simu aweke ya piga bure.. du kuona hivyo wakala kona

Aisee basi aje aseme ukweli
 
inawezekana walikuwa ni Malaika

Kama huyu 1406794837020.jpg
 
Nipo mkoa wa Kilimanjaro kikazi, Idi imenikuta huku, nikasema nipate moja baridi bar ya jirani na hoteli nilipofika, nilikuwa mwenyewe kwenye Meza,Mara wakaja warembo wawili kukaa kwenye Meza yangu.

Muda ulivyozidi kwenda tukazidi zoeana, kama mtanashati nikawaagizia vinywaji, kwakuwa nilikuwa nimechoka Sana na kazi kwa siku ya Leo basi ilipofika saa nne nikawaaga kuwa nakwenda kupumzika.

Kuona hivyo wakaniambia kwamba kwakuwa Mimi Ni mgeni basi watanisindikiza mpaka nilipofika ili wanilinde, wakuu tulipofika barabara kuu nageuka sioni wale mabinti niliokuwa nao.

Nimeingia woga mpaka muda huu, ukizingatia kazi iliyonileta hapa Ni ya Siku 9 na hii Ni ya 3.

Hawafanani na hawa? 1406794911587.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom