Nimekutana na mauzauza Moshi

Nimekutana na mauzauza Moshi

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Nipo mkoa wa Kilimanjaro kikazi, Idi imenikuta huku, nikasema nipate moja baridi bar ya jirani na hoteli nilipofika, nilikuwa mwenyewe kwenye Meza,Mara wakaja warembo wawili kukaa kwenye Meza yangu.

Muda ulivyozidi kwenda tukazidi zoeana, kama mtanashati nikawaagizia vinywaji, kwakuwa nilikuwa nimechoka Sana na kazi kwa siku ya Leo basi ilipofika saa nne nikawaaga kuwa nakwenda kupumzika.

Kuona hivyo wakaniambia kwamba kwakuwa Mimi Ni mgeni basi watanisindikiza mpaka nilipofika ili wanilinde, wakuu tulipofika barabara kuu nageuka sioni wale mabinti niliokuwa nao.

Nimeingia woga mpaka muda huu, ukizingatia kazi iliyonileta hapa Ni ya Siku 9 na hii Ni ya 3.
 
Umethibitisha vipi ni majini,inawezekana wamekatiza kwenye kona usiyoijua, au kwenye kichochoro flani
 
Kwanza Unaonekana We Ni Malaya Sana, Unawezaje Kuwanunulia Bia Wasichana Tena Umeonana Nao Muda Huo Huo Tena Bila Kuombwa? Pili Unawezaje Kukubali Wakusindikize Hadi Unapolala Kama Hukuwa Na Mpango Wa Kuondoka Na Mmoja Wao? Tatu, Je Kama Wangekuwa Ni Chabo Ya Majambazi Wamewatumia Wasichana Hao Ili Wakupeleleze Kisha Wanaume Waje Hadi Chumba Cha Hoteli Uliyofikia Ungesema Wamejuaje Chumba Chako? Kumbe Wakati Mwingine Kuibiwa Huwa Mnajitakia.Na Laiti Ungekuwa Mfanyakazi Wangu Leo Ulikuwa Huna Kazi Kwa Kuhatarisha Nyaraka Na Pesa Za Ofisi.
 
Allowance mnawapa nyingi sasa zinakosa matumizi .... wanajikuta kufanya ufuska tu
 
Hivi kuna sehemu amesema anawataka? Msipokarinishwa mnasema wanaume wengine wachoyo,mkipewa 'wanaumw wengine fuska'

Yani unapay someone else bill tena kaja mwenyewe bila kuitwa huo ni ufuska .... kama uliniambia tutoke out afu asilipe hapo sawa
 
.....Najua ndo tumemaliza mfungo.....sasa kichwa kinakuwa fresh kinoma....bia 3.....zinakuwa km 13 hv.....inategemea ulitwanga ngapi?amini hao sio majini wala nini....pombe zako tu!
 
...viumbe wa mnyaazi mungu walikuwa wanakagua nani kafika na nani hajafika kwenye assignment ya tenda dhambi za mwezi mzima ndani ya siku moja,na ujitahidi kumshawishi mwingine naye atende dhambi....
 
Nipo mkoa wa Kilimanjaro kikazi, Idi imenikuta huku, nikasema nipate moja baridi bar ya jirani na hoteli nilipofika, nilikua mwenyewe kwenye Meza,Mara wakaja warembo wawili kukaa kwenye Meza yangu, mda ulivyozidi kwenda tukazidi zoeana, kama mtanashati nikawaagizia vinywaji, kwakua nilikua nimechoka Sana na kazi kwa siku ya Leo basi ilipofika saa nne nikawaaga kuwa nakwenda kupumzika, kuona hivyo wakaniambia kwamba kwakua Mimi Ni mgeni basi watanisindikiza mpaka nilipofika ili wanilinde, wakuu tulipofika barabara kuu nageuka sioni wale mabinti nilio kua nao, Nimeingia woga mpaka muda huu, ukizingatia kazi iliyonileta hapa Ni ya Siku 9 na hii Ni ya 3,

Dah bonge la adventure mimi ningeshangilia mno na kwa jinsi ninavyojifahamu wangegeuka paka hapo hapo hapo kabla hawajaanza mazingaombwe yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom