Nimekutana na mauzauza Moshi

Nimekutana na mauzauza Moshi

Niseme tu kuwa Mungu bado anakupenda kwa kuwa bado uko hai mpaka hivi sasa. Kule kilimanajaro machangu wa Kichagga huwa wanatumiwa na kaka zao kuchabo wageni. Pengine walikuchukua kufika sehemu wakaona kaka zao na kuwapa sign bila wewe kujuwa kisha kukimbia kiaina ili ubaki njia panda peke yako uuwawe. Una bahati sana.
 
Pole mkuu. Usiogope! Neno usiogope lipo kwenye biblia mara 365. Kwa hiyo kila siku Mungu anakwambia usiogope[kama wewe ni muumini lakini].
Usimdanganye... Mungu hapendi wadhambi bali kwa kutubu toba ya dhati ya moyo wake kwanza ndipo ulinzi wa Mungu wetu uwe juu yake.
 
Nipo mkoa wa Kilimanjaro kikazi, Idi imenikuta huku, nikasema nipate moja baridi bar ya jirani na hoteli nilipofika, nilikuwa mwenyewe kwenye Meza,Mara wakaja warembo wawili kukaa kwenye Meza yangu.

Muda ulivyozidi kwenda tukazidi zoeana, kama mtanashati nikawaagizia vinywaji, kwakuwa nilikuwa nimechoka Sana na kazi kwa siku ya Leo basi ilipofika saa nne nikawaaga kuwa nakwenda kupumzika.

Kuona hivyo wakaniambia kwamba kwakuwa Mimi Ni mgeni basi watanisindikiza mpaka nilipofika ili wanilinde, wakuu tulipofika barabara kuu nageuka sioni wale mabinti niliokuwa nao.

Nimeingia woga mpaka muda huu, ukizingatia kazi iliyonileta hapa Ni ya Siku 9 na hii Ni ya 3.
Punguza mtungi mkuu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom