Nimekutana na mauzauza Moshi

Nimekutana na mauzauza Moshi

Najaribu kufikiria tukio lako lingetokea Zanzibar,Tanga hata Dar wengi wangekubali swala la majini lakini kwakuwa limetokea kule kiraracha basi kubali kuwa ulikuwa chicha baya....
 
Wakuu, jokes aside this shit really happened, na wenyeji wanasema in 2006, similar events zilikua zikitokea watu hapa mjini
 
Najaribu kufikiria tukio lako lingetokea Zanzibar,Tanga hata Dar wengi wangekubali swala la majini lakini kwakuwa limetokea kule kiraracha basi kubali kuwa ulikuwa chicha baya....

it is very sad kwamba, it is my character that has been attacked rather than addressing the issue itself, it happened and that is all I can say
 
Nipo mkoa wa Kilimanjaro kikazi, Idi imenikuta huku, nikasema nipate moja baridi bar ya jirani na hoteli nilipofika, nilikuwa mwenyewe kwenye Meza,Mara wakaja warembo wawili kukaa kwenye Meza yangu.

Muda ulivyozidi kwenda tukazidi zoeana, kama mtanashati nikawaagizia vinywaji, kwakuwa nilikuwa nimechoka Sana na kazi kwa siku ya Leo basi ilipofika saa nne nikawaaga kuwa nakwenda kupumzika.

Kuona hivyo wakaniambia kwamba kwakuwa Mimi Ni mgeni basi watanisindikiza mpaka nilipofika ili wanilinde, wakuu tulipofika barabara kuu nageuka sioni wale mabinti niliokuwa nao.

Nimeingia woga mpaka muda huu, ukizingatia kazi iliyonileta hapa Ni ya Siku 9 na hii Ni ya 3.

Majini wanakunywa bia? Mh, sijui... labda wenye kuyaelewa haya mambo watujuze!
Hata hivyo, acha woga, it was just an illussion za pombe tu. I hope so...
 
Kupotea kwao kunahalalisha wao kuwa majini??
 
Ngoja pombe zikuishe utakuja kugundua kumbe hata moshi hukuenda upo kwenu makabe kwenye baa ya kaka yako masawe na umelala hapohapo na watu washakula kiboga

tehe tehe tehe tehe tehe
 
Kwanza Unaonekana We Ni Malaya Sana, Unawezaje Kuwanunulia Bia Wasichana Tena Umeonana Nao Muda Huo Huo Tena Bila Kuombwa? Pili Unawezaje Kukubali Wakusindikize Hadi Unapolala Kama Hukuwa Na Mpango Wa Kuondoka Na Mmoja Wao? Tatu, Je Kama Wangekuwa Ni Chabo Ya Majambazi Wamewatumia Wasichana Hao Ili Wakupeleleze Kisha Wanaume Waje Hadi Chumba Cha Hoteli Uliyofikia Ungesema Wamejuaje Chumba Chako? Kumbe Wakati Mwingine Kuibiwa Huwa Mnajitakia.Na Laiti Ungekuwa Mfanyakazi Wangu Leo Ulikuwa Huna Kazi Kwa Kuhatarisha Nyaraka Na Pesa Za Ofisi.

umemaliza hamna cha kuongeza
 
it is very sad kwamba, it is my character that has been attacked rather than addressing the issue itself, it happened and that is all I can say

Your excellency. just agree to disagree with your conscience that you were very drunk and yyou did not even know what you were doing. Genies are muslims and they do not drink alcoholic drinks. Genies do not come in pairs. they come one on one. You were simply enjoying yourself with women of loose morals. that means you also have lloose morals. did you check your wallet. ddid you use a condom or have you forgotten everything because of viroba ?????
if you continue like that . they will check your oil yaani utafir.wa na wahuni. wewe endekeza pombe tu.
 
Mkuu sio wewe kweli nilikuona ukiwa na madem wawili mitaa ya banana mkielekea dar street, mara gafla wakakuacha! mida ya saa nne hivi
 
Mkuu sio wewe kweli nilikuona ukiwa na madem wawili mitaa ya banana mkielekea dar street, mara gafla wakakuacha! mida ya saa nne hivi

hapana mkuu,
 
Ngoja pombe zikuishe utakuja kugundua kumbe hata moshi hukuenda upo kwenu makabe kwenye baa ya kaka yako masawe na umelala hapohapo na watu washakula kiboga

haa haaaaa haaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom