Nimekutana na mauzauza Moshi

Nimekutana na mauzauza Moshi

Duh hii misamiati bwana inaongezeka daily, need to update my swahili dictionary..kuna msemo mmoja unaitwa 'sheedah' bado sijaunyaka freshi.

Mie nipo tu ndugu yangu, shida tupu mpk kichwani
Mkuu hiyo "sheedah" usije ukaizoea tena kuna mada ilikuja humu inawaponda wanaume wanaotumia misemo ya "sheedah, nimkumisije?" Wadau wakahitumisha kuwa hiyo ni kwa wanaume mapunga!!
 
Nipo mkoa wa Kilimanjaro kikazi, Idi imenikuta huku, nikasema nipate moja baridi bar ya jirani na hoteli nilipofika, nilikua mwenyewe kwenye Meza,Mara wakaja warembo wawili kukaa kwenye Meza yangu, mda ulivyozidi kwenda tukazidi zoeana, kama mtanashati nikawaagizia vinywaji, kwakua nilikua nimechoka Sana na kazi kwa siku ya Leo basi ilipofika saa nne nikawaaga kuwa nakwenda kupumzika, kuona hivyo wakaniambia kwamba kwakua Mimi Ni mgeni basi watanisindikiza mpaka nilipofika ili wanilinde, wakuu tulipofika barabara kuu nageuka sioni wale mabinti nilio kua nao, Nimeingia woga mpaka muda huu, ukizingatia kazi iliyonileta hapa Ni ya Siku 9 na hii Ni ya 3,
Tubu na kuiamini Injili
 
Utakuwa ulikuwa unaota ndoto hebu tulia utagundua baadae.
 
Mama ukarimu wenyewe ndo huo! Ulitaka awafukuze? Utagidaje kilaji huku umetumbuliwa macho na wadada ambao hawana kilaji kwenye meza? Tukiwakirimia mwatuona mafuska, tukiwanyima wanaume Wa siku hizi bahiri, acheni hizo!

Sasa ona kakarimu majini
 
Hahahaaa...kwa hiyo wewe bwana mabinti walikuomba wakupe ulinzi, ukaona mbona Gadafi alikuwa na ulinzi wa akina dada! Mwenyewe ukaridhiiika, kwamba wangetokea wanaume wa shoka kutaka kukugegeda hao mabinti wangejitolea wagegedwe wao!! Dah pombe mbaya jama!!!!!!!!!!!!
 
Siku hizi majini nao wanakula kitimoto balaa,ndio maana siwapendi.Dawa yao ni moja tu !
 
Nipo mkoa wa Kilimanjaro kikazi, Idi imenikuta huku, nikasema nipate moja baridi bar ya jirani na hoteli nilipofika, nilikuwa mwenyewe kwenye Meza,Mara wakaja warembo wawili kukaa kwenye Meza yangu.

Muda ulivyozidi kwenda tukazidi zoeana, kama mtanashati nikawaagizia vinywaji, kwakuwa nilikuwa nimechoka Sana na kazi kwa siku ya Leo basi ilipofika saa nne nikawaaga kuwa nakwenda kupumzika.

Kuona hivyo wakaniambia kwamba kwakuwa Mimi Ni mgeni basi watanisindikiza mpaka nilipofika ili wanilinde, wakuu tulipofika barabara kuu nageuka sioni wale mabinti niliokuwa nao.

Nimeingia woga mpaka muda huu, ukizingatia kazi iliyonileta hapa Ni ya Siku 9 na hii Ni ya 3.

Mkuu unakumbuka idadi ya moja baridi moja moto ulizopiga?
 
tafuta sehemu yenye kitimoto ule halafu uwe unatembea na kipande cha mfupa kwisha
 
Hizo laga tu hamna cha jini wala nini, mara nyingine kunywa bia laini kama castle light.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom