Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Thread starter
- #21
Kijana anautekenya mshangazi, haogopi kufinywa?😅Imeshakutokea umefanyiwa kitu kimasikhara ukajikuta umeingia tamaa?
View attachment 3610543
Kijana ana tabia kama zako 🤭 mbona wewe huwa huogopi?Kijana anautekenya mshangazi, haogopi kufinywa?😅
Aser unaionaje?No 1 ni nyege no 2 tamaa
No 3 mwonekano
Najua kwanini unasema hivyo mamie, itafika mahali utabadili tu hiyo kauli, jipe miaka kadhaa!Sex is overrated
Nzuri mno mama abel anaipenda sanaAser unaionaje?
Mpo wengi sana wenye huu ugonjwa, hivi mnayapendea nini?Mwanamke akishakuwa na makebo basi mimi hoi bin taabani, napenda sana makebo
Kwahiyo nyege zikikaa mahala pake hata mwonekano hujali au vigezo lazima vizingatiwe?No 1 ni nyege no 2 tamaa
No 3 mwonekano
Mama la mama umenyooka 🤣 🤣Hela......
Aaaaa... Mbona umetuambia "alamsiki"?Ina maana haurudi tena umetususia uzi?
- Nini huwa kinakufanya umtamani mwanamke au mwanaume kimapenzi au kimwili ?
- Nimeona mijadala mingi humu kuhusu kukosa uaminifu kwenye mahusiano huku watu wakisema “huwezi kula chakula kile kile kila siku” hivi inakuwaje mtu unatamani chakula ambacho hujui ladha yake? kiini cha matamanio yako hapo kinakua ni nini?
View attachment 3610533
- Wenzangu tunaovutiwa na uwezo wa mtu kiakili au kuwa na connection ya kihisia kwanza (sapiosexual / demisexual) na si kimuonekano, nini ambacho mpenzi au mwenza wako alisema au alifanya kikavutia ukataka kuwa naye?
Alamsiki!
Nipo Moze, nasubiri majibu yako!Aaaaa... Mbona umetuambia "alamsiki"?Ina maana haurudi tena umetususia uzi?
Sijawahi kuona series kali tokea nianze kuangalia azam two kuzidi hiiNzuri mno mama abel anaipenda sana
Sana, inaleta raha buana.Acha tu hii kitu ndio inafanya dunia inakua tam
Hivi nyie mnapataje majimama maana nilijaribu nikanyooshewa kisu?Imeshakutokea umefanyiwa kitu kimasikhara ukajikuta umeingia tamaa?
View attachment 3610543