Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Nilikuwa nakuuliza hit n run kivp? Na hao wajuba mm siwafaham kama wanajiliza ni wao tu
Ubebe nang'o ule na shida chii wa haya kwamba ule daga hela, sasa ule wa ku hit and run duhuu

Emb rudiaa tenaa? Na uyapangilie maneno vizuuri
 
Lol nahene!
Uleja halee mwanike?
Nanogaga o nene😅
IMG_20260612_130615_016.jpg

Gete lenelo?
 
View attachment 3610917

Hii ni kwa maisha ya kawaida au hata mahusiano? mfano na mke au mume wa ndoa?

Nakubaliana na hili kwa asilimia 💯 hasa kwa watoto, nao wanastahili kufanya yale yanayowafurahisha na wanayoyapenda, si kila kitu ni kwa ajili yetu kama wazazi.
Binafsi kwangu naona hata kwenye ndoa.

Tena kwenye ndoa ndio kwenye adhabu kali sana kwa kisingizio cha kifungo cha ndoa.

Wengi waliopo kwenye ndoa wana pitia mengi mno magumu.

Embu ona hii kwanza

Huyu mwana mama maybe ni mume wake , na huyo mwana pengine anafanya hayo kwa sababu hayapati panapo stahili, alipo jaribu kutafuta furaha yake mahali pengine hayo ndio matokeo yake .

Hii ndio maana halisi ya ubinafsi na kujipendelea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom