Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Kiuchumi usijitoe ufahamu
😅😅😅 usinifokee basi dah

Mi nimesema navutiwa na mtu mzima kuanzia 35 kwenda juu kwa sababu naamini walau yeye anajitambua sijasema neno pesa
Bye 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Unaandika kinyamwezi au?

Kuhit e kinehe lulu? Kubachejela hale natobamana nene bajage okho!

Nilekagi💃🏽
Hata sielewi nimeunganisha maneno ya kisukuma hapoo

Mwanike waniachaga mu njia panda lulu, Sijaelewa kitu hapo.

Ndoho Mayu wayakanyagaga ileloo
 
Hata siwezi kueleza nikaeleweka.
kuna mmoja nilimmiliki kwa miezi michache tukawa kama mapacha kwenye masuala ya matamanio yetu.... Tuliyafanya mapenzi kama chakula ikafika kipindi wote tukiamka asubuh miguu inalia kama bawaba kisa uroto umepungua

Kama sio Mungu kututenganisha tungefia kitandani mbwa sisi🤣🤣🤣🤣
Nakupa NB ya SUGU
 
bora jua liwake kutokee ukame mkali na mafuta kuendelea kupanda kuliko kuwatetea vijana kama hawa hasa mtoa post
Unavyohisi wewe kijana unanitetea mimi wapi? na kuna siku nimeshawahi kuomba kutetewa au unaniletea ……………..?
 
Unavyohisi wewe kijana unanitetea mimi wapi? na kuna siku nimeshawahi kuomba kutetewa au unaniletea ……………..?
😂😂 hadi kaanguka kwenye kiti kwa ubuyu
Screenshot_20260619-163742.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom