Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
- Thread starter
- #101
.....,hahaha, MwanajamiiOne, kwani no siri?
Last edited by a moderator:
Mbu yaani hii ni speacial kwa MwanajamiiOne bila ubishi
Hivi waweza zuia kujuta?
Nafikiri ukifanya yafuatayo hautajuta kama Mbu afanyavyo leo.
1. Tambua penzi la mwenzako
2. lithamini penzi lake pamoja na mazagazaga yake (muda, kujali, kujitoa etc)
3. Jitoe na wewe pengine zaidi yake (kupenda kama ilivyo kutoa kuna leta furaha zaidi kuliko kupendwa au kupokea)
4. Ishi naye kama vile leo ni siku ya mwisho kuwa naye
5. Kumbuka hakuna aliyemkamilifu, hivyo kusamehe na kubebeana mizigo iwe sehemu ya mapenzi.
back to you Mbu pole, wanasema majuto ni mjukuu; ila angalia isiwe sehemu ya maisha yako.
Swahiba wangu Mbu,
Huyo King'asti achana naye kabisa.....we will do it our way..
Kwani umesahau kwamba "no matter what, men sink and rise together"?
cc: Asprin, Kaizer, BAK, EMT, Mtambuzi, The Boss....
Na hawa wadogo zetu wanakaribishwa kwenye kikao (with no voting rights) ili wajichotee hekima za bure...
Fixed Point, Nyamayao, Kongosho, King'asti, MwanajamiiOne, teachers gfsonwin & sonwhite..
Babu DC!!
Mhhhh! Mbu kawarudisha jamvini watu wengi ambao walikuwa "wanachungulia kwa mbali" Natafuta asali halisi banaaa chupa mbili lol....Tangu uweke lile bandiko lako kuhusiana na asali halisi sasa hivi imekuwa adimu sana kupatikana 🙂🙂 Nafurahi kusikia kwamba uko bomba.
Acha tu mkuu BAK Mbu akionekana tu humu watu tunapatwa na mararia, tunasubiri Asprin na klorokwini tu hapa tupate ahueni
Kareen hujambo?There are currently 25 users browsing this thread. (7 members and 18 guests)
Na mimi nimekuja bana
Mhhhh! Mbu kawarudisha jamvini watu wengi ambao walikuwa "wanachungulia kwa mbali" Natafuta asali halisi banaaa chupa mbili lol....Tangu uweke lile bandiko lako kuhusiana na asali halisi sasa hivi imekuwa adimu sana kupatikana 🙂🙂 Nafurahi kusikia kwamba uko bomba.
hahahaha bi dada nichunu tu jamani za masiku? nipo bada si unajua siku hizi JF ya dot.com tumewaachia lol tumekuja hapa kupa suport ya kuunda tume ya ukweli na maridhiano ili Mbu ale sikukuu vizurikha, wewe mwanaume wewe, ndio nini kupotea hivyo jamani? aisee natamani kukushumu aisee
MwanajamiiOne 1 of my favourite member here, nakusabahi. unapotea sana nowdays
......lol! 'Bulls-eye!'
Umejuaje? Labda soulmate aje akanushe.
.....,hahaha, MwanajamiiOne, kwani ni siri?
Babu Dark City naomba kuingia kwenye jopo name....................
Mjukuu unataka gender balance sio? ngoja Babu Dark City akufikirie