Nimekimbia FB nimekuja JF.

Nimekimbia FB nimekuja JF.

Ninakabinti pale nyumbani elimu yake form four division four kamekataa kurisiti, ni keupe kametulia kanataka kuolewa ni pm kama upo tayar mkuu!i
 
Ninakabinti pale nyumbani elimu yake form four division four kamekataa kurisiti, ni keupe kametulia kanataka kuolewa ni pm kama upo tayar mkuu!i

Aha, ahsante bwana mkubwa, lakini kaambie kabisa kasije kakaleta matatizo baadae... Kaambie kabisa kuwa me ni mpaka rangi, then hiyo PM nimeiona leo, lakini sijangundua kazi yake.
 
Back
Top Bottom