Ukitaka Ubaya...
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 498
- 140
nilijua siwez pata mume jf kumbe nilikosea..................
leo nimebahatisha na mimi nimefurah.
Ondoa shaka! tayari umeokota embe dodo chini ya mwarobaini. :juggle:
nilijua siwez pata mume jf kumbe nilikosea..................
leo nimebahatisha na mimi nimefurah.
legeza masharti angalau ajue kusoma na kuandika kama wabunge wa ccm.
Gheto lipo Bahari Beach, ikiwa unapafahamu.
Ok. Hasa kila mtu anajua now. So tupeane namba za simu basi. Anza kuandika yako.
Ondoa shaka! tayari umeokota embe dodo chini ya mwarobaini. :juggle:
Mie naomba niwe mpiga vigelegele tu si unajua siku hizi kila kitu unachangamka mapema lol.
Ila huyu mkaka kama yuko serious kapata mke maana mdada ni mrembo na haijui hata fb eti gfsonwin sijawahi kusikia unaizungumzia fb
Halafu naona wengine wanakupiga vita ndugu yangu sijui kwanini wale majirani wanakufuatilia mpaka humu lol. Najua kuna uliowatimua walipoleta za kuleta , nadhani ndio maana wanachuki binafsi. Mwaya haya ndio mambo ya uswahilini hatuachi kufuatiliana naoana safari hii utabahatika usikatishwe tamaa na maneno ya watu.hongera sana kwa akzi nzuri. yaelekea mwenzangu wewe unakipaji hasa na pia maisha sio mabaya sana kwako.
haya niambie unampango wa kujenga kwanza?? mm naish nyumba ya kupanga manzese kwa mfuga mbwa.......
sasa namba tukiandika hapa haifai tutaandikiaana sirini.
tuendelee kwanza kujua vizuri.
je wew wapenda nikuite jina gani wangu??
sasa huko si naskia wanakaa wakubwa mimi kweli nitaweza kuja huko kwenu wakati ni mtoto wa uswahilini?
njoo wewe kwa mfuga mbwa.
mie sipajua kabisa ndio wapi huko FB.
kwani mpenzi huko watu wanafanyagaje??
Yaani umebahatika jamani kumbe jf ni noumaaa . Sikutegemea kama unaweza pata mchumba humu , ama kweli subira yavuta kheri. Sijui nikupongeze kabisa au itakua m apema mno......kuna watu na vismati vyao.
umesahau kwamba wa mbili havai moja??
kuna watu na vismati vyao.
umesahau kwamba wa mbili havai moja??
huko hakuna mapenzi, ni wizi mtupu.
Wa JF wenyewe wanakimbilia FB mnapishana.
Nakushauri ushauri ukitaka kupata watoto wazuri usiwe mchoyo wa vocha za simu.
Me siwezi kuja huko kwa mfuga. Naogopa Mbwa. Njoo wewe.
pole mwaya. sisi huku tunapendana asana yaani hapa hata kama siku kazini umekosa kabisa ukija kusema tu unapewa pesa ya kula siku hiyo.
Changamkia tenda hiyo! si unajua watafutaji ni wengi. Teh! teh!
Yaani umebahatika jamani kumbe jf ni noumaaa . Sikutegemea kama unaweza pata mchumba humu , ama kweli subira yavuta kheri. Sijui nikupongeze kabisa au itakua m apema mno......