gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
Mie napaka rangi Mageti na Madirisha.
hongera sana kwa akzi nzuri. yaelekea mwenzangu wewe unakipaji hasa na pia maisha sio mabaya sana kwako.
haya niambie unampango wa kujenga kwanza?? mm naish nyumba ya kupanga manzese kwa mfuga mbwa.......