Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Mwenzangu umeula walah. Mambo yakiwa sawa usitusahau wenzio kumbuka umependwa jinsi ulivyo wala mkaka hakujali unakoishi lkn hata hivyo urembo wako nao umekusaidia dear bila kusahau jinsi ulivyojitunza mpaka watu wanataka kukuzushia ili mradi wivu tu..mwali nimepata tena wa bahari beach mweeeh!
wapambe lazima mjinyonge mwaka huu manake fikiria toto la uswaz manzese kwa mfuga mbwa leo naenda nchi ya mageti n upepo wa bahari nitake nini tena mimi yarabi.