Nimekimbia FB nimekuja JF.

Nimekimbia FB nimekuja JF.

duuh hlo tumbo lililokatika katika lako?

Aaa mimi usinihesabie maana ni aleji na hiyo tabia, ila jiandae waleaji wengi wasio na kinyongo shepu ndio kama hizi hizi za kina MADAM T..
 
kuwa makini humu ni watu wenye busara zao ukija na staili za fb humu hufiki mbali kaka.karibu
 
Aaa mimi usinihesabie maana ni aleji na hiyo tabia, ila jiandae waleaji wengi wasio na kinyongo shepu ndio kama hizi hizi za kina MADAM T..
mhhhh si ntajitoa roho jaman daah hayo mapingiri yananimaliza kabisa
 
Me nimejiunga hapa jf lakini cjui jinsi ya kupost, naomba msaada, nifanyeje
 
Back
Top Bottom