Nimekasirika leo jamani

Nimekasirika leo jamani

wanaume ni watu wa ajabu mtu hujawai kumuona mnachat tu!leo mmeonana mara ya kwanza unataka mgegedo?tulizeni dudu zenu kwenye ch..pi.mwana dada nakupa big up
 
kwa kuwa ni mara ya kwanza hata kuingia guest ningeingia tuu kama nimekuamini na kwa kuwa hujawahi ongea mambo yetu yale mie ningewaza labda unataka tupange mambo yetu faragha na siyo otherwiseb mie shostito wala simlaumu kukataa kutoa papuchi kwani hayakuwa makubaliano yenu kabla. siyo kila demu na maharage ya mbey
a maji mara moja
 
Hahahahaaaaa haaaaa mkuuu umenichekeshaa sanaa.....but pole
 
Hahhahhahaha....Hela Yenyewe Shilingi Mbili Ndo Inayokupasua,
Shame On You
 
Mpaka mnaingia gesti mlidhani mnaenda kuimba kwaya?

Next time umwambie three hours before kwamba utampapua papuchi yake tena free!
 
Siyo lazima mfanye mapenzi. Mnaweza kwenda na kuongea tu. Iwe nyumba ya wageni iwe, hotelini au hata nyumbani kwako. Kama ipo ni ipo tu utapata bila hata kulazimisha.
 
Siyo lazima mfanye mapenzi. Mnaweza kwenda na kuongea tu. Iwe nyumba ya wageni iwe, hotelini au hata nyumbani kwako. Kama ipo ni ipo tu utapata bila hata kulazimisha.

weeee unasema tu mtu kajichanga mlo wa wiki hapo halafu ndege anapotea hivihivi....
lazima apasuke mtu hapaaa aaah💪💪💪
 
Aha! Alikubali kuingia gest house kufanya nini? Kama ingekuwa room kwa jamaa sawa,ningeamini hakukuwa na makubaliano ya kupigwa dushe.

inawezekana jamaa mwenyewe domo zege hlf hata kuonyesha vitendo mvivuu.... sasa hata kama ni mie si nakula naondoka hadi na nauli nadaiii
 
Nadhani mkuu umechukulia things for granted..inawezekana she is so naive hata ulipomwambia mnaenda guest aliassume unaishi kifamilia na utamaduni wenu haukuruhusu kukaribisha wageni wa kike kwenu..siku nyingine tupia kisentensi cha kiuzushi like "unapokuja please vaa chupi ya pink" asipoleta kipingamizi unajua tu kuwa yupo ready maana mpaka nione chupi lazima nikutawanye.

Ila usikate tamaa, just ask her if next tym itakuwa the same story..akionyesha kutokuwa tayari kubadilika basi achana nae maana kama mchangiaji mmoja alivyosema huwezi jua.....more often than not mtu huwa anaachwa na basi anasikitika then anasikia limepinduka anashangilia
 
Leo umepata bonge la faida,kwanza kwajinsi unavyo lalama condom hukununua, ulikumbuka kumpa msosi tu.
 
Hakuwa wako huyo ndiyo maana umemkosa.

huwez jua mungu kamuepusha na nini analilia kupasuka hapa.... ila hela inauma ndugu ni sawa kafanya deiwaka hlf bahati mbaya hela ikashika moto ikaungua
... yaan bora ianguke chooni nijue moja kuliko hayaaa
 
Huyo dem **** sana mi dem akinfanyia ivo nampotezea mazma ata siku nkimkuta anabakwa napita kama simjui maamae

mkuu hapa usimulaumu demu tatizo ni uwezo Mdogo wa jamii kushawishi akiwa ndani ya guest maana demu hadi anaingia guest alisha jua nia ya jamaa ila alifanya jeuri aone ushawishi wa jamaa ukoje akakuta uwezo wake mdogo ndo maana akagoma
 
Back
Top Bottom