Nimekasirika leo jamani

Nimekasirika leo jamani

Inawezekana hajawahi kuingia guest so hakujua yanayofanyika huko. We pasuka tu.
 
Ingekuwa mi ningekula mzigo at a Kwa maguvu,uingie guest house nkuache?!never never ever happen.
 
Aha! Alikubali kuingia gest house kufanya nini? Kama ingekuwa room kwa jamaa sawa,ningeamini hakukuwa na makubaliano ya kupigwa dushe.
 
Hahahahaaaa, mabvu zangu mimi!Anyway umefanya vizuri kutupa chambo, mie nakumbuka ilinitokea kama yako nikamtoa na 50 akasepa!Kesho yake napewa mkanda kuwa ni mjamzito!Duh nikagundua kosa langu ni kuweka condom mezani maana niltak kupewa mtoto!Sasa hivi anabembeleza na sina mpango!
 
Nimecheka jamani mtu anataka kupasuka kisa kachukua chumba cha elfu 20000
 
Haa haaa haa. Hela yako fupi mwanangu. Huwa wanaangalia na chenji pia.
 
Jinga sana veve, ulijua ni ya kuchukua tu kama yako vile, demu alikuwa anakusoma tu ajue kweli wewe umefuzu kwenye hayo mambo😀 halafu unamshika chuchu tu dah, hasara kweli.
 
Back
Top Bottom