kabugira
JF-Expert Member
- May 14, 2014
- 1,186
- 659
Haaaaaaaaaaaaa wanaangalia wao wawili tu
Ndiyo! inawezekana kabisa, kama vipi na sisi tupange twende kuangalia mieleka! haha haha haha!
Haaaaaaaaaaaaa wanaangalia wao wawili tu
Ndiyo! inawezekana kabisa, kama vipi na sisi tupange twende kuangalia mieleka! haha haha haha!
makubaliano yenu ya mwanzo kabla ya kukutana ilikuwa nini?
itabidi tutafute muda
muda wa nini comred
Pole sana na uache uzinzi huwezi jua umeepushwa na nini.
makubaliano yenu ya mwanzo kabla ya kukutana ilikuwa nini?
kosa kubwa sana kuchart tu na mtu then ukaassume amekuwa wako!!
Japo naye had kukubal kuingia room alishakubali lakn anasubiri umwambie!!!
mbona msosi kagonga? Mbona hujauliza mkataba?
haaaaaa maana bora hata ingekuwa kwake sasa guest house jaman alijua wanaenda kufanyaje
huyo demu ni mpumbavu.amekubali vipi aingie mpaka gesti halafu agome kugongwa.kwanini hasikwmbie mapema husiingie hasara?.ungemzaba makofi na nauli husingempa
pole sana na uache uzinzi huwezi jua umeepushwa na nini.
pengine makubaliano yao hayakuwa kuvunja amri ya sita na mshikaji alitaka aitumie nafasi kwakuwa ameshakutana nae tayari, na chakula alichukulia pengine kawaida na si kwa kulipana ujira.
Mfano kwani wewe huwezi kuwa na marafiki zako ukawanunulia chakula unataka kuniambia utawadai sababu walikula chakula chako kwahiyo wakurudishie pesa zako ulizotumia kuwanunulia chakula.
Hapo tatizo makubaliano yao ya awali pengine demu hakutegemea mchezo wa ghafla inawezekana alijua watakutana kwanza kisha wafahamiane zaidi(kama kideti fulani hivi), na hata kama lengo ilikuwa kumpa mambo mshikaji avumilie atapewa tu pengine demu kajistukia siku ya kwanza kukutana na kupeana mambo akaona sio kweli, ila kila siku zitakavyoenda kitaeleweka tu
hahaahahaa" wanaume mnajua kulalamika humu
unapasuka nini wakati wewe ni mjinga?
hahhahhahaha....hela yenyewe shilingi mbili ndo inayokupasua,
shame on you
kama amegoma kutoa papuchi "apigwe tu"
Haaaaaa maana bora hata ingekuwa kwake sasa guest house jaman alijua wanaenda kufanyaje