Nimekasirika leo jamani

Nimekasirika leo jamani

Uhiyari gesti!!!! Seriously??..basi mwenzio nimewahi kurudishiwa pesa yangu..

ray, Ukiona mbuzi amegoma kwenda ujue kuna kitu anaogopa..Awe honest mleta mada bidada kakubali kwenda gest halafu kagoma kutoa show lzm kuna kitu jamaa aseme!
 
ray, Ukiona mbuzi amegoma kwenda ujue kuna kitu anaogopa..Awe honest mleta mada bidada kakubali kwenda gest halafu kagoma kutoa show lzm kuna kitu jamaa aseme!

Hahaha..niamini mimi..wengine wanakera,wanakuwa hawana sababu za msingi..mi naongelea experience coz yamenikuta
 
@UWOGA=UMASIKINI mshukuru mungu sana maana ilionekana ulikuwa unanunua ukimwi kwa shilingi 25000.
 
Umekosea toka mwanzo, na huyo demu alikuwa anakuchota akili yako tu ulipaswa kufunguka mapema usome upepo kabla ya yote. Pole lkn ndugu ndo hasara ya michepuko hiyo
 
Back
Top Bottom