Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,460
Haaaaaaaah haaaaaaaaah haaaaaah kuna stage moja uliiruka
Makubaliano yenu ya mwanzo kabla ya kukutana ilikuwa nini?
Haaaaaaaah haaaaaaaaah haaaaaah kuna stage moja uliiruka
Sio mbaya, bint katumia uhuru wake wa kikatiba, tena yeye ashanza kuitumia katiba pendekezwa.
haaaaaaaah haaaaaaaaah haaaaaah kuna stage moja uliiruka
sio mbaya, bint katumia uhuru wake wa kikatiba, tena yeye ashanza kuitumia katiba pendekezwa.
sio moja tu, stage kibao kaziruka.
naona anatumia katiba ya chenga aaaa vijisent ila kaniudhi sana
Haaaaaaaaaaaaaaaa kweli lazima upasuke...
Haaaaaa maana bora hata ingekuwa kwake sasa guest house jaman alijua wanaenda kufanyaje