Nimeitwa kwenye interview canada ila sina nauli.

Miezi miwili iliyopita niliaply kazi katika kiwanda kimoja cha usindikaji wa samaki wameniita kwenye interview tarehe 22january ila tatizo sasa sina nauli nimemwambia mzee auzee hata vishamba vyake na nyumba amekataa daa nishaurini nifanyaje nakama mnavyo jua bongo maisha magumu

Angalia usije ukawa punda wa sembe
 
Tahadhari baki nayo mkononi, ww ndio unajua genuinity ya hii kampuni mpk ukafikia hatua hii

Ni makosa kumwita mtu aje physical alie mbali sana kwa interview

Ni makosa kuitikia tu huku ukijua ulimwengu wa sasa unaruhusu interview kufanyika over the phone
-niliwah fanyiwa interview kwa dakika 40 kwa njianua simu kwa kazi niliyoomba Abu Dhabi lakin Recruitment agent ipo Chennai India

-niliwah kupata call for interview Safaricom Kenya, nikawauliza if kuna refund ya Fair ntakayogharamika kwa vile wamejua natoka Bongoland. Walibaki kimya mpk tarehe ikapitiliza

-Faham kua Canada they shud be in good position kufanya interview kwa online nasio kukwita physical

-all the best
 
nenda wizara ya kazi nina uhakika watakupa nauli. yereuwiiiii
 
No No hayuko serious bhana, yaani uitwe kufanya interview Canada? Wana lao jambo, ingekuwa ni Mbeya au Lushoto sawa but Canada ambako wana-discourage wageni wasiende leo ndio uitwe hivi hivi. Mpwa changanya na zako please
Elli njoo huku unahitajika.
 
Sidhani kama kuna kamupuni kama hiyo dunia hii isiyojua manufaa ya teknolojia, labda kama unatudanganya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom