Nimeitwa kwenye interview canada ila sina nauli.

Miezi miwili iliyopita niliaply kazi katika kiwanda kimoja cha usindikaji wa samaki wameniita kwenye interview tarehe 22january ila tatizo sasa sina nauli nimemwambia mzee auzee hata vishamba vyake na nyumba amekataa daa nishaurini nifanyaje nakama mnavyo jua bongo maisha magumu

Kama wewe ni mchaga sikufundishi chochote , unajua cha kufanya
 
Kwanza ulizia katika ubalozi wa Canada kama hiyo kampuni ipo kweli kabla hata ya kufunga virago kuelekea usikokujua.

Vile vile ukishahakikisha kwamba hao ni kweli siyo feki fuata ushauri wa hao wanaokwambia wasiliana nao kwa simu.
 
Weka Hapa hiyo e-mail waliyokutumia kukuita kwenye interview tuipime uhalisia wake.

Natujue jina la hiyo kampuni tukusaidie kuhakiki kama ni kweli ipo ama unataka kutapeliwa.
 
Miaka hii ya kisasa na mi-skype na teleconferences interview hata arusha hatuendi. Wakishahakikisha wanakutaka ndo unaenda uso kwa uso.

Kiwanda cha samaki norway wanataka mswahili? Unaenda kuwa mkurugenzi?
 
Interview na contract vitu viwili tofauti...interview sio mkataba wa kazi check out
watu wengi wanafanyiwa interview on line siku hizi fanya michakato hyo ila usiuze asset
 
Acha kutufanya hamnazo ,unaleta usanii.
Miezi miwili iliyopita niliaply kazi katika kiwanda kimoja cha usindikaji wa samaki wameniita kwenye interview tarehe 22january ila tatizo sasa sina nauli nimemwambia mzee auzee hata vishamba vyake na nyumba amekataa daa nishaurini nifanyaje nakama mnavyo jua bongo maisha magumu
 
Miezi miwili iliyopita niliaply kazi katika kiwanda kimoja cha usindikaji wa samaki wameniita kwenye interview tarehe 22january ila tatizo sasa sina nauli nimemwambia mzee auzee hata vishamba vyake na nyumba amekataa daa nishaurini nifanyaje nakama mnavyo jua bongo maisha magumu

Waombe wakufanyie usaili hata kwa simu, skype, n.k
 
Miaka hii ya kisasa na mi-skype na teleconferences interview hata arusha hatuendi. Wakishahakikisha wanakutaka ndo unaenda uso kwa uso.

Kiwanda cha samaki norway wanataka mswahili? Unaenda kuwa mkurugenzi?
Jamani ex kidumu kwani mswahili hawezi? Tehe tehe
 
Yani mzee wako auze nyumba na shamba kwa ajili ya interview?
Halafu baada ya hapo akalaze wapi mgongo wake?
Duh! Kwani interview ndo kuajiriwa??
 
Miezi miwili iliyopita niliaply kazi katika kiwanda kimoja cha usindikaji wa samaki wameniita kwenye interview tarehe 22january ila tatizo sasa sina nauli nimemwambia mzee auzee hata vishamba vyake na nyumba amekataa daa nishaurini nifanyaje nakama mnavyo jua bongo maisha magumu
Ninachofahamu ni kuwa ukiitwa for an out of town interview, most companies would either pay upfront for your traveling expenses, or reimburse you after the interview.
Kama unayo pesa ya kugharamia expenses zote go for it. Kama huna, do not risk kuuza mashamba ama nyumba for something that is not guaranteed.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom