Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Mimi tena...Unachokitafuta utakipata🤣🤣🤣
Mimi tena...Unachokitafuta utakipata🤣🤣🤣
Mwambie baba mchungaji una ndugu, haukuokotwa wewe.You are missed big time furushi ake,,🥰🥰
Mie nipo kukuchekaMimi tena...
Ngoja nimtumie ujumbe wake; kumbe ananitenganisha na ukoo😹😹Mwambie baba mchungaji una ndugu, haukuokotwa wewe.
Siku yangu ikifika; utaniletea glucose na mo energy. Baada ya hapo , ntaendelea na ukaguziMie nipo kukucheka
Aaah sibishani na mke wangu bwana wee🤣Acha ubishi basi🤣🤣
Huu ukoo aliukuta, hivyo aende taratibu.Ngoja nimtumie ujumbe wake; kumbe ananitenganisha na ukoo😹😹
Aaah we! Nitakuwa karibu kukucheka huku nashushia na juisi.Siku yangu ikifika; utaniletea glucose na mo energy. Baada ya hapo , ntaendelea na ukaguzi
Kwani uliwahi ikagua ukakuta vitu vya ajabu? Si unanijua nilivyo msafi🤣Aaah sibishani na mke wangu bwana wee🤣
Sasa leo umenena yaniiHapana,maana kilichonileta kwake ni uboo simu ya nini? Akiificha ile msosi akwende tu
Seconded1. Huyo mwenzio ana watu anataniana nao, kuna matani huwa yanaonyesha watu wana mahusiano ya kimapenzi ingawa hapana, UTAWEZA KUTOFAUTISHA KWAMBA HUU NI UKWELI AUA LA?
2. Kuingia kwenye mahusiano, haimaanisha huyo mtu hana private life.
3. Kwanini simu pekee? Kama una maanisha basi siku nyingine mwaume avae sidiria ya mkewe au mpenzi wake..!!
BY THE WAY, USIMCHUNGUZE MTU AMBAYE KUMUACHA HUWEZI
Hongera mkuu,Ni sahihi.
Mimi nashika simu na ninakagua haswa. Yaani nakagua kweli kweli na vile babe wangu mshamba wa simu anajua akifuta kitu ndio kimefutika mimi naenda hadi kwenye bin kukagua. Kwa kweli nakagua uwiii na sina mpango wa kuacha.
Hahahaha na siku moja moja namsaidia kupost picha yake akiwa na familia yake ambayo ndio sisi. Naweka status na ka caption fulan kazuri ka heshima. Anakuja kuona anacheka tu. Bila kusahau kumbadilishia profile picture heheheee leo namweka prince mwezi ujao princes. Yeye anakuwa hata hajui ni profile gani ipo kwenye whatsap yake mpaka ajione kwenye simu yangu.
Kwakweli nakagua simu nakutana na matukio wakati mwingine nawasha moto balaa na hiyo inamrudisha kwenye mstari kabla hajapotea zaidi.
Nyongeza: nanusa hadi nguo sitaki ujinga.
Mwaka wa 8 huu tunatumia simu mojaMjep simu yako ondoa passwords mama awe huru nayo unachoficha kitakugharimu siku moja😓
Kuna ka pepo tu ka kuangalia DM Instagramna Facebook, WhatsApp Chats, yaani utajikuta tu😁😁😁😁😁 mimi sirudii tena aiseee nilichokuta kwenye simu ya Mr 🙌🙌🙌🙌🙌Ndiyo
Kuna kucheza game
Kupiga picha kali,labda mmoja wenu ana simu ina camera nzuri
Kuna kuitumia kupiga simu kwa watu wa muhimu mfano wazazi
Wengine kuunga bando la dakika ni kipengele
Kuna kuitumia kuperuzi mtandaoni..maybe mmoja bando lomekata
Hivyo anaaccess simu ya mwenzie nakujihotspot ama kuitumia direct.
Umalaya wa kiwango cha vumbi roadHapana,maana kilichonileta kwake ni uboo simu ya nini? Akiificha ile msosi akwende tu
Ni sawa mtakatifu Petro....Bikra wa mtaaUmalaya wa kiwango cha vumbi road
Keep it up man👊Mwaka wa 8 huu tunatumia simu moja
She is my personal secretary