mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 760
- 1,037
Hongera sana mkuu,Hadi Raha yaniMwaka wa 8 huu tunatumia simu moja
She is my personal secretary
Hongera sana mkuu,Hadi Raha yaniMwaka wa 8 huu tunatumia simu moja
She is my personal secretary
😂😂😘Sasa leo umenena yanii
Unataka kupunguza porpulation duniani? Imagine unashika simu ya mtu unakuta ana wapenzi zaidi ya kumi na wote anawahonga mapesa kibao na anaenjoy nao maisha halafu that person is said to be your belove husband na mna watotoJe wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?
Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316
Nakazia vilivyoNakazia,mtu mzima HALINDWI.
Kwahiyo ni kweli kwamba wanaoficha simu zao kuna mambo machafu wanayafanya?Unataka kupunguza porpulation duniani? Imagine unashika simu ya mtu unakuta ana wapenzi zaidi ya kumi na wote anawahonga mapesa kibao na anaenjoy nao maisha halafu that person is said to be your belove husband na mna watoto
Will you spare his life? Mambo ya simu hebu tuachane nayo kabisa mimi sishiki simu ya mtu hata kama namuamini kiasi gani
Exactly, kama hakuna mambo machafu wangekua na huru kuacha simu zaoKwahiyo ni kweli kwamba wanaoficha simu zao kuna mambo machafu wanayafanya?
Nashangaa ,watu wanashare wanashare vitu vingi ila simu zao hawataki ziguswe.Very simple and it’s just basic common sense.
Kama huna la kuficha kwenye simu yako basi pia hutokuwa na shida mpenzi wako akiishika simu yako.
Huna la kuficha, huna baya ulifanyalo kwenye hiyo simu, sasa kiroho dunda cha nini mpenzi wako akiishika simu yako?
You share far more intimate things like emotions, bodily fluids, bad breath, etc., but when it comes to a stupid phone, it’s a no no?
Come on now….I ain’t no Boo Boo the Fool now.
😂😂😂Ni sahihi.
Mimi nashika simu na ninakagua haswa. Yaani nakagua kweli kweli na vile babe wangu mshamba wa simu anajua akifuta kitu ndio kimefutika mimi naenda hadi kwenye bin kukagua. Kwa kweli nakagua uwiii na sina mpango wa kuacha.
Hahahaha na siku moja moja namsaidia kupost picha yake akiwa na familia yake ambayo ndio sisi. Naweka status na ka caption fulan kazuri ka heshima. Anakuja kuona anacheka tu. Bila kusahau kumbadilishia profile picture heheheee leo namweka prince mwezi ujao princes. Yeye anakuwa hata hajui ni profile gani ipo kwenye whatsap yake mpaka ajione kwenye simu yangu.
Kwakweli nakagua simu nakutana na matukio wakati mwingine nawasha moto balaa na hiyo inamrudisha kwenye mstari kabla hajapotea zaidi.
Nyongeza: nanusa hadi nguo sitaki ujinga.
😂😂Kuna ka pepo tu ka kuangalia DM Instagramna Facebook, WhatsApp Chats, yaani utajikuta tu😁😁😁😁😁 mimi sirudii tena aiseee nilichokuta kwenye simu ya Mr 🙌🙌🙌🙌🙌
Kabisa,.mimi hata ukisahau simu yako hapo sigusi, tena naweza hama chumba kabisa ili nisishawishike kuigusa, naogopa kuvunja trust niliyonayo kwa mtu maana ikivunjika I won't trust him ever, and you know what it means? Hakutakua na mapenz tena na familia itavunjika vipande, bora tubaki hivihivi hata kama ana mambo yake mradi nisiyajue kabisaaaKwanza lengo la kushikiana simu ni nini?
Kama ni kukaguana/kulindana na kufuatiliana basi jibu langu ni big No.
Mtu mzima na akili zake timamu akiamua jambo lake atalifanya tu
Kwanini?Jibu ni ndio
😂Ndio wanapaswa kuwa huru.
Faida:
1. Itajulikana nani kati yao ana ngumi na kofi kali zaidi na leyenye nguvu zaidi ya mwenzie.
2. Itajulikana nani ana matusi makali zaidi na ya nguoni zaidi mwenzake.
3. Itasaidia Jamii kujua kwenye tendo nani ni dhaifu zaidi ya mwingine na ni mchafu zaidi.
Hasara:
1. Mauaji, uharibifu na kujeruhiana kimwili na kiroho.
2.Watoto kama wapo watapata tabu sana.
3.ni mapoyoyo tu ndio yatasameana
4. Uadui na uhasama utadumu daima na milele hadi kifo kiwatenganishe...
Kwahiyo unanishauri na mimi nipekue?"Mithali 31:27
[27]Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake;
Tunashikiana simu, tunakaguana, tunachunguzana. Hata circle yake, lazima niichungulie
Kwanini?
Mambo ya kazini akiona kuna tatizo gani?Binafsi napenda privacy, kama hv na account jf ya kujifyatua akili nachati ujinga ujinga wa nyeto & kataa OaNd, bado mambo ya miamala, mambo ya kikazi sio lazima awe na access nayo
Umenena vyema Mkuu
- "Me na Ke" waote mkiwa "wasafi" wa "matendo" na "mienendo", Hofu ya nini?
- First "RED flag" kwa "ME au KE" ni ulinzi mkali aliojiwekea kwenye simu yake, anakosa amani mwingine/mwenzie/Mwenza "akigusa" simu yake.
Ndio hapo sasa Mkuu,hata mimi nashangaa.I second this.
Watu hawako real, unawezaji kulala na mtu kitanda kimoja wakati simu yake hurusiwi kuishika.
Lakini mwanaume ni mtu wa muhimu kwakoSimu yangu niwe na access nayo mimi tu tafadhali
Faida yake ni uhuru wa umiliki wa kitu changu
Hasara sidhani kama ipo