Nimeikuta sehemu

Nimeikuta sehemu

Ndiyo
Kuna kucheza game

Kupiga picha kali,labda mmoja wenu ana simu ina camera nzuri

Kuna kuitumia kupiga simu kwa watu wa muhimu mfano wazazi
Wengine kuunga bando la dakika ni kipengele

Kuna kuitumia kuperuzi mtandaoni..maybe mmoja bando lomekata
Hivyo anaaccess simu ya mwenzie nakujihotspot ama kuitumia direct.
haya bana😂

wahenga walisema 'ukikata kitunguu, uwe tayari kulia'
 
Je wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?

Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316
Sasa sababu ya kuwa wapenz tena in a love relationship ni ipi km simu zenu hamruhusiani ht kuchungulia kwa uhuru,

Wengi mnaishi kwenye mahusiano feki hayo sio mapnz bali ni kupotezeana muda na kuchezeana akili tu

Wapenz wa kweli hawafichani what they have at all,
 
Unaposajili laini kuna karatasi ya vigezo na masharti huwa ina vipengele vingi huwa hatusomi. Laini ya simu na simu ni mali ya mtu mmoja. Na faragha ni baina ya mwenye laini na mtoa huduma hakuna mtu wa 3 ambaye ni mpenzi anahusika.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Back
Top Bottom