Nimeikuta sehemu

Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
73,833
225,644
Je wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?

Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi?
1697523105233.jpg
 
Kwanini hapana?
1. Huyo mwenzio ana watu anataniana nao, kuna matani huwa yanaonyesha watu wana mahusiano ya kimapenzi ingawa hapana, UTAWEZA KUTOFAUTISHA KWAMBA HUU NI UKWELI AUA LA?

2. Kuingia kwenye mahusiano, haimaanisha huyo mtu hana private life.

3. Kwanini simu pekee? Kama una maanisha basi siku nyingine mwaume avae sidiria ya mkewe au mpenzi wake..!!

BY THE WAY, USIMCHUNGUZE MTU AMBAYE KUMUACHA HUWEZI
 
eti avae sidiria
 
sasa 'access' ya nini, kucheza game?
Ndiyo
Kuna kucheza game

Kupiga picha kali,labda mmoja wenu ana simu ina camera nzuri

Kuna kuitumia kupiga simu kwa watu wa muhimu mfano wazazi
Wengine kuunga bando la dakika ni kipengele

Kuna kuitumia kuperuzi mtandaoni..maybe mmoja bando lomekata
Hivyo anaaccess simu ya mwenzie nakujihotspot ama kuitumia direct.
 
Back
Top Bottom