mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 760
- 1,037
Nakazia,mtu mzima HALINDWI.Kwanza lengo la kushikiana simu ni nini?
Kama ni kukaguana/kulindana na kufuatiliana basi jibu langu ni big No.
Mtu mzima na akili zake timamu akiamua jambo lake atalifanya tu