Nimeikuta sehemu

Nimeikuta sehemu

Nikiwa kwenye ndoa au sirious relationship sim ya mpenzi wangu ni lazima nishike na nikague nn anafanya kwenye sim yake kwasabab dunia ya saiz zaid ya 80% ya tabia za mtu zipo ndani ya simu so siwez kuacha kukagua sim. Kukwepa kushika sm ya mpenz ni sa na kula funza gizani ukategemea unakuka chakula salama hiyo hali siwezi kabisa. Na yey namruhusu ashike yangu tena nampa na password
Hakika umenena
 
Unaposajili laini kuna karatasi ya vigezo na masharti huwa ina vipengele vingi huwa hatusomi. Laini ya simu na simu ni mali ya mtu mmoja. Na faragha ni baina ya mwenye laini na mtoa huduma hakuna mtu wa 3 ambaye ni mpenzi anahusika.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Kwahiyo huwezi kumpa mkeo simu Yako?
 
Kabisa,.mimi hata ukisahau simu yako hapo sigusi, tena naweza hama chumba kabisa ili nisishawishike kuigusa, naogopa kuvunja trust niliyonayo kwa mtu maana ikivunjika I won't trust him ever, and you know what it means? Hakutakua na mapenz tena na familia itavunjika vipande, bora tubaki hivihivi hata kama ana mambo yake mradi nisiyajue kabisaaa
Hii nzuri, kuna kauli ya kaka Mshana Jr aliwahi isema nanukuu, "usiyatafute matatizo acha yaje yenyewe". Nilimuelewa sana.

Kuanza kupekuana ni kuyatafuta matatizo kwa lazima.
 
Back
Top Bottom