Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,360
- 91,912
Upo sahihi kabisaMi kukaguana ndio siwezi kuepusha mabalaa
Upo sahihi kabisaMi kukaguana ndio siwezi kuepusha mabalaa
I second this.Sasa sababu ya kuwa wapenz tena in a love relationship ni ipi km simu zenu hamruhusiani ht kuchungulia kwa uhuru,
Wengi mnaishi kwenye mahusiano feki hayo sio mapnz bali ni kupotezeana muda na kuchezeana akili tu
Wapenz wa kweli hawafichani what they have at all,
😂😂🐒Wew tn![]()
hapa sasa nimekuelewa.....Lakini,
Hivi ukiwa na access na simu ya mtu,ni lazima uikague?
Lejendari😂😂Akague tu, likimkuta jambo atapambana nalo.
Sasa Uzi si ufungwe Tu, maan umemaliza kila kitu MkuuHakuna faida ya kukaguana simu, mapenzi yakiisha si utaona tu mtu anavyobadilika?
Mimi na wewe hatuchekani kwenye idara hii🤣🤣Lejendari😂😂
Hapana kwakweli! Mie huwezi niweka kundi moja na wewe kamweeee🤣Mimi na wewe hatuchekani kwenye idara hii🤣🤣
Unakagua simu yangu huniamini? Na kwa nini ufanye ukaguzi, hujiamini?I second this.
Watu hawako real, unawezaji kulala na mtu kitanda kimoja wakati simu yake hurusiwi kuishika.
Jamaa akiishika lazima aibamize tu, kilichomo humo kimaandishi kutamuua kwa pressure 🤣🤣Hapana kwakweli! Mie huwezi niweka kundi moja na wewe kamweeee🤣
Je wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?
Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316