Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

Polisi ya tz ni wapumbavu ilo ni jukumu lao kutrack wahalifu bure wakimkamata huyo muhalifu ndiyo abanwe siyo wewe uliye ibiwa uwalipe wapumbavu wakutrakie mwizi ...kazi ya polisi ni gani sasa? Tuna ndiyo maana kuna tuhuma kuwa polisi wakimtrack mwizi na kumpata wanamalizana naye juu kwa juu na pesa yako inakuwa imeliwa ...wanachukua kwa muhalifu na wanachukua kwako.na eimu upatiwi wanakuambia atujampata .

Polisi nao ni wezi tu
juz wamekula elfu 40 ya jamaa yangu na hamna chochote walichofanya
 
Polisi nao ni wezi tu
juz wamekula elfu 40 ya jamaa yangu na hamna chochote walichofanya
Ndiyo maana awatoagi takwimu ya simu walizo track na kuzi kamata ..kama ni kulipia huduma ilitakiwa walipishwe wahalifu walio kamatwa na simu siyo vinginevyo ...jeshi la polisi linaongozwa na watu wapuuzi wasio na akili kabisa wanalipwa mishahara bure tu
 
Polisi ya tz ni wapumbavu ilo ni jukumu lao kutrack wahalifu bure wakimkamata huyo muhalifu ndiyo abanwe siyo wewe uliye ibiwa uwalipe wapumbavu wakutrakie mwizi ...kazi ya polisi ni gani sasa? Tena ndiyo maana kuna tabia kuwa polisi wakimtrack mwizi na kumpata wanamalizana naye juu kwa juu na pesa yako inakuwa imeliwa ...wanachukua kwa muhalifu na wanachukua kwako.na eimu upatiwi wanakuambia atujampata .
Ukiripoti umewapa dili wanakula kotekote, wana mtrack wanampata wanamtoa hela na simu wanabaki nayo
 
Nimeibiwa sim na nisharipot police

Sasa niitrack au police watakula ela zangu

Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Wapo watu wengi waishapata simu hasa Ikwa kui track....!!!

Huyo mwizi wako atarudisha simu, atakupa na pesa, atatoa na pesa ya Police, inategemea na Maelezo Yako Police.

Wengine huandika amepoteza
Simu ya 600,000..... Pia alipotexa milioni 2 ikiwa pamoja na hiyo simu....! Hapo gharama zako zitarudi, simu itarudi, na posho ya Askari ipo humor humo....!

Kuna jamaa yangu simu yake iliibiwa Dar akaenda kuipata Bukoba, na gharama zilirudi na faida juu.
 
Nimeibiwa sim na nisharipot police

Sasa niitrack au police watakula ela zangu

Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Sim gan unataja tu thaman nyoosha maelekezo
 
Nimeibiwa sim na nisharipot police

Sasa niitrack au police watakula ela zangu

Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Achana nayo,polisi watakula pesa na mbunye na bado hutaipata
 
Back
Top Bottom