Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,588
- 28,752
Inabidi tupitishe kamchango, angalau anunue ka-nokia ka tochi.........kwikwiwkwiiiii kweli bwana chake chetu. masikini tumeibiwa. roho imeniumaje
Inabidi tupitishe kamchango, angalau anunue ka-nokia ka tochi.........kwikwiwkwiiiii kweli bwana chake chetu. masikini tumeibiwa. roho imeniumaje
Nani bado anaweka simu exposed dirishani kwenye daladala?
Sema wewe ndio umejifunza, usituambie unatufundisha kitu ambacho hujui kama sisi hatukijui already.
Na ungeweza kugeuziwa kibao ukapigwa wewe mwizi trying to chase a kibaka down vichochoro roads. Una mengi ya kujifunza, usijaribu kutufunza sisi.
View attachment 117202
Ilikuwa hivi;
Ilikuwa leo majira ya saa moja na nusu jioni,Nimetoka kwenye mihangaiko nimefika Ubungo ili nipande Daladala nyingine kuelekea Nyumbani,Daladala niliyopanda nikafanikiwa kupata siti ya dirishani ili nipunge upepo.
Tukiwa bado tuko kwenye mataa ninauchovu wa mwili na roho,ikanibidi nitoe simu yangu aina ya Nokia N97,nikaweka Headphone ili nisikilize radio kujua yaliyojiri duniani.Nikiwa bado natafuta masafa ya Radio,ghafla nikaona bonge la mkono kutokea nje likamata simu yangu na mtu kukimbia nayo.Nikajua tayari nimesha fanyiwa kamchezo si kazuri,haraka sana nikapita dilishani kumfata mwizi,nyuma ya daladala niliyokuwa nimepanda kulikuwa na gari kubwa la mizigo ambapo kwenye gari lile kulikuwa na vijana wa ziada,walipoona nimeshuka haraka nao wakashuka kunisaidia tukamfukuzia mwizi umbali kazaa lakini hatukufanikiwa.
Maskini simu yangu NOKIA N97,ikawa imeniacha kimwili.
Wana JF nawaombeni mchukue tahadhari msije mkajikuta mmeingia kwenye hii janga kama lilonikuta leo.
RIP SIMU YANGU
Wewe lazima utakuwa ni kibaka anebisha aseme NOKanunue simu nyingine! na kiherehere cha kucheza na masimu kwenye madirisha ya madaladala mkome! nyie ndo wale mnaotupigia kelele za manyimbo ya kina diamond kwenye daladala! Ingia kwenye hiace,tulia ufike unakokwenda ndo uanze kucheza na masimu yako.
Nashukuru kwa ushauri but Sina muda,aisee!Pole ila unge wasaka hao mateja wahapo ukajifanya unataka simu ya kanyanka ungeuziwa ileile simu yako
Umeona eee,take care my friendSomo zuri....
ee bwana nausikiaga tu lakini sasa nimejionea na kunipata siunajua tena ushamba wa daladala?pole sana mkuu,wizi wa namna hiyo upo sana maeneo ya mwenge,manzese na bunju b (mahakama ya simu)
yaanni natamani nikute wanapiga mwizi aiseehawa wezi hawa...mie waliniibia sim yangu sina ham nao hataa pale Mwenge
Ushamba ndio nini mkuu?..hivi huo mdomo ndio unalia chakula au ndio unaendea haja kubwa?pole lakini huo ni ushamba, umekuja lini mjini? hiyo mbona ni style ya siku nyingi iliyokata wasichana masikio yao kwa kukwapuliwa heleni zao madirishani? Kaa na liushamba lako
aaa wapi si kweli nipe quote,yaani uibiwe et umetoa!...mbona utoaji kwangu si tatizo?Pole mkuu. Kwa mafundisho niliyowahi kupata sehemu fulani hiyo inaitwa GIVING (kutoa). Mtu utatoa kwa njia yoyote hata kwa kuibiwa. Jenga mazoea ya kutoa bila kulazimishwa.
wewe wapanda guta?...wale madudu kama wewe mnaoishi chooni mnapanda uchafu sie watu tunapanda daladala n.k....ungejua wala usingesema hivyoIvi kuna watu bado wanapanda daladala??..
Hayo maeneonkumbe yana vibaka sana ee.. Pole kaka
its not true mkuu,thunk againPole na hiyo inaitwa welcome to Dar es salaam!
kwani we uliyeibiwa dar umefkka lini? story z
ote we zilikuwa zinakupita kando? bongo daresalama baba
wizi juu ya wizi kakahawa walisema usajiri simu kutapunguza wizi sijui wamefikia wapi maana bado tunaibiwa simu na hakuna chochote
hata wewe ----- utakua umeeongeza kitu kwakua unadhani unajua wakati hujui na hujui kama hujuiKweli kiongozi. Yeye ndio kajifunza sio sisi.
byebyebye!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!R.i.p n97.
nunua gari ndo dawa ya hawa jamaa
hujambi Cl mambo vip?..mi nipo teleAsante kwa taarifa mkuu... Ulipotea sana! Karibu tena!
mama mambo?..usijali within 3 days atakuwa mikononi mwangu si-unanijua zangi?Na angekamatwa huyo
angejuta kuzaliwa;
Siku ukiwa na nafasi kula doria maeneo ya
ubungo uone wezi wanavyowaibia watu
then unaweza maliza hasira yako kwa kuwapa
kipigo kile kile cha kuleeee!.
Pole sana lakini.
Tumebaki kuibiana roho zetu sasa, kama ndo hivo huko dar siji na simu...
Da pole sana mie mwenyewe nimetapeliwa leo
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
View attachment 117202
Ilikuwa hivi;
Ilikuwa leo majira ya saa moja na nusu jioni,Nimetoka kwenye mihangaiko nimefika Ubungo ili nipande Daladala nyingine kuelekea Nyumbani,Daladala niliyopanda nikafanikiwa kupata siti ya dirishani ili nipunge upepo.
Tukiwa bado tuko kwenye mataa ninauchovu wa mwili na roho,ikanibidi nitoe simu yangu aina ya Nokia N97,nikaweka Headphone ili nisikilize radio kujua yaliyojiri duniani.Nikiwa bado natafuta masafa ya Radio,ghafla nikaona bonge la mkono kutokea nje likamata simu yangu na mtu kukimbia nayo.Nikajua tayari nimesha fanyiwa kamchezo si kazuri,haraka sana nikapita dilishani kumfata mwizi,nyuma ya daladala niliyokuwa nimepanda kulikuwa na gari kubwa la mizigo ambapo kwenye gari lile kulikuwa na vijana wa ziada,walipoona nimeshuka haraka nao wakashuka kunisaidia tukamfukuzia mwizi umbali kazaa lakini hatukufanikiwa.
Maskini simu yangu NOKIA N97,ikawa imeniacha kimwili.
Wana JF nawaombeni mchukue tahadhari msije mkajikuta mmeingia kwenye hii janga kama lilonikuta leo.
RIP SIMU YANGU
WE KILAZA BADO UNAKAAGA SITI ZA DIRISHANI NA LISIMU BILA KUFUNGA DIRISHA? WAmEKUPATIA
hujambi Cl mambo vip?..mi nipo tele
mama mambo?..usijali within 3 days atakuwa mikononi mwangu si-unanijua zangi?