marjinankoveka
New Member
- Oct 22, 2013
- 3
- 0
Pole xaana kaka
Bandugu utapata nzuri na ya kisasa badala yake "wala usikasirike na usiwe na hasira" Something good on the way!!View attachment 117202
Ilikuwa hivi;
Ilikuwa leo majira ya saa moja na nusu jioni,Nimetoka kwenye mihangaiko nimefika Ubungo ili nipande Daladala nyingine kuelekea Nyumbani,Daladala niliyopanda nikafanikiwa kupata siti ya dirishani ili nipunge upepo.
Tukiwa bado tuko kwenye mataa ninauchovu wa mwili na roho,ikanibidi nitoe simu yangu aina ya Nokia N97,nikaweka Headphone ili nisikilize radio kujua yaliyojiri duniani.Nikiwa bado natafuta masafa ya Radio,ghafla nikaona bonge la mkono kutokea nje likamata simu yangu na mtu kukimbia nayo.Nikajua tayari nimesha fanyiwa kamchezo si kazuri,haraka sana nikapita dilishani kumfata mwizi,nyuma ya daladala niliyokuwa nimepanda kulikuwa na gari kubwa la mizigo ambapo kwenye gari lile kulikuwa na vijana wa ziada,walipoona nimeshuka haraka nao wakashuka kunisaidia tukamfukuzia mwizi umbali kazaa lakini hatukufanikiwa.
Maskini simu yangu NOKIA N97,ikawa imeniacha kimwili.
Wana JF nawaombeni mchukue tahadhari msije mkajikuta mmeingia kwenye hii janga kama lilonikuta leo.
RIP SIMU YANGU
Yes dadangu yule. Kwa taarifa yako na wenzako wasioijua Dunia, Hotel zote za kimataifa Duniani uki-check out unaondoka na Taulo na vitukdhaa. Kitu cha kawaida. Sasa shida ya waswahili, mko too localized, yaani hata hapo nje kidogo tu kuchungulia hamuwezi! Mnaishia kujiaibisha na comments za ajabu ajabu. Nimeikuta hii issue ya Taulo kwenye blog ya Wacameroun. Wanshangaa sana wa TZ. Pole sana, ndiyo nchi yetu, tutafika hivi hivi
Duh! Kwahiyo kuchukua mataulo na baadhi ya vitu vya hotel ni kawaida kwa wenzetu!?
Huku kwetu ni wizi Mkuu!
Nyumbani kwako wewe ndiyo wizi. Wenzako wameomba msamaha zamani. Aliye-report siku iyo ni kama wewe; hujui chochote. Nina brands kibao za Taulo za hotels za kimataifa nilizowahi kaa humu duniani