Nimeibiwa leo; jifunze na wewe usiibiwe kama mimi

Nenda kwa company ya simu uliyokuwa unatumia watasaidia kuipata. itadispay imei no. hata mtu akiweka chip nyingine
 
Anatuyeyusha huyo nilikuwepo eneo la tukio na issue nzima ilikuwa hivi.

harakati+za+pimbi.JPG

Now, this is funny
 
Pole kaka simu inauma kaka ukiibiwa mfano mim mwenyewe nliibiwa cm huku ikiwa ckioni naongea na mtu nkajtahd kumfuata nikakutana na bonge la bisbis nkagive up mtoto wa watu yaani walaaniwe kabisa hawa vjana wa kikwete
View attachment 117202
Ilikuwa hivi;
Ilikuwa leo majira ya saa moja na nusu jioni,Nimetoka kwenye mihangaiko nimefika Ubungo ili nipande Daladala nyingine kuelekea Nyumbani,Daladala niliyopanda nikafanikiwa kupata siti ya dirishani ili nipunge upepo.

Tukiwa bado tuko kwenye mataa ninauchovu wa mwili na roho,ikanibidi nitoe simu yangu aina ya Nokia N97,nikaweka Headphone ili nisikilize radio kujua yaliyojiri duniani.Nikiwa bado natafuta masafa ya Radio,ghafla nikaona bonge la mkono kutokea nje likamata simu yangu na mtu kukimbia nayo.Nikajua tayari nimesha fanyiwa kamchezo si kazuri,haraka sana nikapita dilishani kumfata mwizi,nyuma ya daladala niliyokuwa nimepanda kulikuwa na gari kubwa la mizigo ambapo kwenye gari lile kulikuwa na vijana wa ziada,walipoona nimeshuka haraka nao wakashuka kunisaidia tukamfukuzia mwizi umbali kazaa lakini hatukufanikiwa.

Maskini simu yangu NOKIA N97,ikawa imeniacha kimwili.

Wana JF nawaombeni mchukue tahadhari msije mkajikuta mmeingia kwenye hii janga kama lilonikuta leo.

RIP SIMU YANGU
 
Pole sana. Mimi niliwahi kusimama karibu na mwizi kwenye daladala za ubungo -kariakoo, alichomoa blackberry yangu bila ya mimi kuhisi chochote, bahati nzuri nilikuwa nimevaa earphones. alichuka sim, alivyo chomoa earphones, muziki ukawa loud, akaidondosha fasta chini ndani ya daladala, na sijui alishuka vipi, but hakuonekana tena baada yamimi kupata sim yangu.
 
Ha ha ha! very interesting.
 
Pole mkuu, Sa ivi mtaani kuna njaa sana inatubidi kuongeza umakini maradufu!
 
Ipo kwa mmiliki mpya. Ila ukiibiwa ujue utapata another new model.
 
Back
Top Bottom