bandubandu
Senior Member
- Dec 19, 2010
- 102
- 28
hahahahahahahahahah..........mkuu huwezi amini jamaa kaingiza mkono ndani kama nusu mita,can you imagine kiasi gani jamaa alivyo professional kwenye fani
Kaka huyo ndio mjasiriamali kazini.

Pole sana sana aisee itabidi waliochangia thread hii tumchangie mwenzetu jamani. Nipe namba yako nikutumie 100,000
View attachment 117202
Ilikuwa hivi;
Ilikuwa leo majira ya saa moja na nusu jioni,Nimetoka kwenye mihangaiko nimefika Ubungo ili nipande Daladala nyingine kuelekea Nyumbani,Daladala niliyopanda nikafanikiwa kupata siti ya dirishani ili nipunge upepo.
Tukiwa bado tuko kwenye mataa ninauchovu wa mwili na roho,ikanibidi nitoe simu yangu aina ya Nokia N97,nikaweka Headphone ili nisikilize radio kujua yaliyojiri duniani.Nikiwa bado natafuta masafa ya Radio,ghafla nikaona bonge la mkono kutokea nje likamata simu yangu na mtu kukimbia nayo.Nikajua tayari nimesha fanyiwa kamchezo si kazuri,haraka sana nikapita dilishani kumfata mwizi,nyuma ya daladala niliyokuwa nimepanda kulikuwa na gari kubwa la mizigo ambapo kwenye gari lile kulikuwa na vijana wa ziada,walipoona nimeshuka haraka nao wakashuka kunisaidia tukamfukuzia mwizi umbali kazaa lakini hatukufanikiwa.
Maskini simu yangu NOKIA N97,ikawa imeniacha kimwili.
Wana JF nawaombeni mchukue tahadhari msije mkajikuta mmeingia kwenye hii janga kama lilonikuta leo.
RIP SIMU YANGU
Hiyo simu haijafa ila imepelekwa fundi akaseti masafa vzr!
hahahaaaa kipepeeee hutaniwi wewe mungu ntakutania kisha nakimbia heheheeeee kipepeee EMT
Kaka huyo ndio mjasiriamali kazini.
View attachment 117202
Ilikuwa hivi;
Ilikuwa leo majira ya saa moja na nusu jioni,Nimetoka kwenye mihangaiko nimefika Ubungo ili nipande Daladala nyingine kuelekea Nyumbani,Daladala niliyopanda nikafanikiwa kupata siti ya dirishani ili nipunge upepo.
Tukiwa bado tuko kwenye mataa ninauchovu wa mwili na roho,ikanibidi nitoe simu yangu aina ya Nokia N97,nikaweka Headphone ili nisikilize radio kujua yaliyojiri duniani.Nikiwa bado natafuta masafa ya Radio,ghafla nikaona bonge la mkono kutokea nje likamata simu yangu na mtu kukimbia nayo.Nikajua tayari nimesha fanyiwa kamchezo si kazuri,haraka sana nikapita dilishani kumfata mwizi,nyuma ya daladala niliyokuwa nimepanda kulikuwa na gari kubwa la mizigo ambapo kwenye gari lile kulikuwa na vijana wa ziada,walipoona nimeshuka haraka nao wakashuka kunisaidia tukamfukuzia mwizi umbali kazaa lakini hatukufanikiwa.
Maskini simu yangu NOKIA N97,ikawa imeniacha kimwili.
Wana JF nawaombeni mchukue tahadhari msije mkajikuta mmeingia kwenye hii janga kama lilonikuta leo.
RIP SIMU YANGU
Unataka patashika nguo kuchanika eh?
Siku ingine ukiibiwa kwa namna hiyo usikimbize. wale jamaa huwa wako wengi na vizu pamoja na bisibisi. Utakimbiza na kujikuta umeishia mtaroni bisibisi kwenye utumbo au kisu. Achana kabisa na hao vijana
Mkuu wewe una undugu na yule Mary Mwanjelwa, nguli wa kupitia mataulo ya hotelini kwa tiketi ya Ccm mkoani Mbeya?
Samahani lakini!