Nimegundua mchumba wangu kanisaliti baada ya kuona meseji za mapenzi kwenye simu yake

Sikia, mfokoe mara ya mwisho mwisho, hakikisha mpaka k inatoa harufu ya penseli iiyochongwa au k inatoa harufu ya tairi iliyoumana na lami, baada ya hapo muache
 
kuna watu mna masihara sana yani umekuta mpaka mesej ametoka kupigwa paipu ila bado unajiuliza kama umuache au laa

mimi dem wangu nikikuta hata kasimama na mtu ambae simfahamu napiga chini .

tukiwa pamoja msg ikiingia tunasoma wote, ikipiga namba mpya pokea weka loud speaker ,yani ubandidu tu😎
 
Msamehe tu, ila acha kumhudumia wala usimpatie chochote, ila mwonyeshe mapenzi. Hivyo ndivyo unavyoweza kumlipiza. Hapo kinachokuuma ni jinsi unavyomhudumia alafu kuna mtu anakula. Fanya hivyo hiyo ndoa sitisha tena mwambie live kabisa, anza kusogeza tarehe mbele. Na kuhusu huduma mpe vihela vidogodogo, elfu 2, elfu 3, elfu 4 Hadi elfu 5
 
Mrejesho au umeoa hivyohivyo
 
Kwa jinsi navyoona huyu jamaa hata tungemshauri nini inaonekana ataendelea naye tu.

Watu wa hivi sio wa kushauri. Huyo demu anaolewa na wewe lakini hakutaki.
 
Meneja ulitisha sana
 
Fanya kama yesu alivyofanya alipo gundua yuda anamsati, yeye yuda peke yake atachukua maamuzi mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…