Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Je alizaa kwa ooeration au alipiga chafya mtt akaruka? Mana 17 paka 25 people's sio mchezo alafu diferent length and diameter ....apo ni kuunganisha magoli ma tatu ya mpira ndo upate size ya nani yake
 
Alikuwa anatembea na wanaume 17 hadi 25 kwa mwezi na bado unataka kuendelea na ndoa!? kila la heri.
Kuna watu wana roho, tena anaenda kuomba ushari kwa shangazi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama wewe ndie ulimkuta yupo sawa, chukua begi lako la nguo vitu vingine viache kwa maslahi ya mwanao, katafute nyumba sehemu nyingine uanze maisha mapya, uking'ang'ana na mtoto kwa mwanamke huyo utamuacha yatima huyo mtoto, huyo mwanamke anaweza vizuri kumlea huyo mtoto asipate shida coz pesa anapata. Mshukuru sana Mungu kwa kukuonyesha hatari iliyopo mbele yako.
 
Kwanza mtoto si ajabu si wakwake.
 
Kwanza mtoto si ajabu si wakwake.
Mwanaume ukimkuta mwanamke anajiweza inabidi uchunguze mazingira ya uwezo husika na ujiridhishe pasi na chembe ya mashaka ndipo muungane vinginevyo utasaga meno bila kuchoka bila kujua.
 
Mwanaume ukimkuta mwanamke anajiweza inabidi uchunguze mazingira ya uwezo husika na ujiridhishe pasi na chembe ya mashaka ndipo muungane vinginevyo utasaga meno bila kuchoka bila kujua.
Aliyajua lakini hakutaka kuthibitisha sasa imefika wakati ambapo anatakiwa akubali hata binti akichelewa au akihitajika weekend aelewe, hapo ndiyo ndugu yetu wa JF anaona choloroquine.
 
Yani ni kweli mtu aandike details zote hizi kwenye chating??.

Na kutoa hadi takwimu na idadi ya wanaume aliotembea nao?? Plus alichofanya na kulipwa jana usiku??

SOMETHING IS NOT RIGHT HERE, NACHELEA KUSEMA KUWA SIJAMINI KILICHO ANDIKWA, Ila neno langu sio sheria.
Sio lazima ukubali kama ulivosema, ila kaa ukijua kuna watu mpaka akubali ushawishi wako lazima umpe vivid details. Sishangai kwa ushahid huo wa conv hiyo
 
Aliyajua lakini hakutaka kuthibitisha sasa imefika wakati ambapo anatakiwa akubali hata binti akichelewa au akihitajika weekend aelewe, hapo ndiyo ndugu yetu wa JF anaona choloroquine.
Ila inauma sana. Ingekuwa mimi ningehama nyumba hata mkoa bila hata kumwambia, siku akinitafuta namtumia hiyo chati yake kisha nahamisha line zangu zote na kuanza maisha mapya.
 
Kwanza anza kwa ku confirm kama mtoto ni wa kwako, pili si mwanamke wa kuwa nae, hawez acha hiyo tabia, Maana ndio inayomuweka awe juu...
 
Nimejiapisha kuto kuoa maisha yangu yote, Mkuu achana na mambo ya kuishi na mwanamke mtoto mpeleke kwa mama yako yani bibi ake atulie apo ww endelea na michakato yako ,Wanawake mitihani sana Kacheki afya kama upo fit piga chini usijililize lize huyo ni chronic kamwe hawezi kuacha hio tabia labda umri usogee na akose soko
 
Wachaga tuna msemo kwamba "Ng'ombe anayecheza zizini hawezi kuacha kucheza mpk umchinje" kwa mantiki hiyo mke wako hawezi kuacha kulala na wageni hiyo pesa ameshaona tamuu na ameshakuwa addicted, cha muhimu ni yeye kuacha hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom