Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Aliyajua lakini hakutaka kuthibitisha sasa imefika wakati ambapo anatakiwa akubali hata binti akichelewa au akihitajika weekend aelewe, hapo ndiyo ndugu yetu wa JF anaona choloroquine.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Pesa sio kila kitu, amani na furaha ya moyo ndio kila kitu. Mshukuru Mungu amekuonyesha unaishi na mtu wa aina gani. Mtoto atakuwa tu, huwezi kushi kwenye uhusiano huo kama roho yako haiko tayari.
Kitu kimoja tu huwa najiuliza inapofikia wanadamu kumhusisha Mungu katika mambo haya na mengine kama haya kama ulivyosema wewe mkuu. "Hivi kama kweli Mungu ndo kamuonesha haya leo ili ajue kuwa anaishi na mtu malaya, kwa nini huyo Mungu hakumuonesha toka mwanzo ili kumnusuru na mabaya ambayo yanaweza jitokeza kutokana na umalaya wa mke/mpenzi?
 
Mabaya anayajua lakini hataki kukubali.
 
Huyo ni changudoa
Leo sikubaliani na wewe amigo.
Yaani mtu ana ushahidi alafu anakuja kuomba ushauri[emoji16] [emoji16]
Mbaya zaidi bado anampa mkewe option A&B.
Huu ndio mimi nauita ni upuuzi ulio tukuka[emoji34] [emoji34]
 
hata Malaya ana anaempenda take it easy......ulishaonyesha udhaifu tangu ulipomfata akiwa na maisha mazuri
 
Pesa sio kila kitu, amani na furaha ya moyo ndio kila kitu. Mshukuru Mungu amekuonyesha unaishi na mtu wa aina gani. Mtoto atakuwa tu, huwezi kushi kwenye uhusiano huo kama roho yako haiko tayari.

U have said it all...!!
 
Kunguru hafugiki ndugu umalaya hawezi acha kama aliweza kutembea na watu 17-25 per month duh!! ni hatari hata kama anatumia kondom siku ikipasuka bila kujua si maradhi hayo..Pole sana
 
Leo sikubaliani na wewe amigo.
Yaani mtu ana ushahidi alafu anakuja kuomba ushauri[emoji16] [emoji16]
Mbaya zaidi bado anampa mkewe option A&B.
Huu ndio mimi nauita ni upuuzi ulio tukuka[emoji34] [emoji34]
Tena unafahamu alilala na wanaume kati ya 17-25 kwa siku, hata wale wa danguro tunawangizia.
 
Mshukuru Mungu kakuonyesha uovu wa mkeo. Kulala na wanaume 17-25 kwa mwezi sio mchezo. Huyo ni zaidi ya changudoa. Ushauri wangu ni kwamba huyo sio mke. Tafuta mwingine oa mkuu. Otherwise pressure itakuua soon coz kila atakapokua shift ya usiku lazima utakua na stress ya mkeo kuliwa.

Tena atakua keshaliwa tigo na wazungu. Chezea wazungu na tigo.
Chezea wazungu na tigo Teh teh Teh!!..Kama profile picha yako hapo
 
Pesa sio kila kitu, amani na furaha ya moyo ndio kila kitu. Mshukuru Mungu amekuonyesha unaishi na mtu wa aina gani. Mtoto atakuwa tu, huwezi kushi kwenye uhusiano huo kama roho yako haiko tayari.
Huu ni ushauri bora. Usiishi jehanamu ya duniani. Fanya maamuzi. Move on.
 
Kosa la kwanza: Hukumchunguza wakati unajua alikuwa na mali, ilikuwa ni lazima ujue kipato anapata wapi.
Kosa la pili: Ulipaparikia ndoa
Kosa la tatu: Unapaparikia ndoa isiyo ndoa
Kosa la nne: Una udhaifu mkubwa sana kwa mkeo.
Kosa la tano: Una "fear of unknown

Mugabe bwana eti "If you have 11 men in your relationship then you should request Almight God to bless your team and not your relationship"
 
Unauliza tunasemaje?

Kwani ni mke wetu sote. Hayo ndo maisha yake, wewe komaa nae tu muendelee kuchangia mke. Ukahaba unalipa na huyo amekubuhu
 
Achana naye kaka, huyo mwanamke hajui dhamani yako hata kidogo, jamani ndugu zanguni katika hali ya kawaida tu, iwe mume au mke ukikuta mwenzako anatetea uovu ambao alikuwa ameuficha na sasa umegundulika alafu alakuwa mbishi kuona kosa lake basi nibora kuachana naye,

Kaka huyo mke wako tayari ni changu ndoa hivyo ukiwa tayari kuishi naye ujue kabisa ni changu ndoa huyo
 
Pole Sana broo ninakupa ushauri mfupi sana hakuna ndoa hapo sana utegemee kuja kuukwaa.
 
Yani ni kweli mtu aandike details zote hizi kwenye chating??.

Na kutoa hadi takwimu na idadi ya wanaume aliotembea nao?? Plus alichofanya na kulipwa jana usiku??

SOMETHING IS NOT RIGHT HERE, NACHELEA KUSEMA KUWA SIJAMINI KILICHO ANDIKWA, Ila neno langu sio sheria.

Mbona sio maneno mengi ki hivyo, tena kwa smart phones nimameneno machache kabisa
 
hata kama wanaliwa so kwa k iasi cha honcho 17-25 kwa mwezi angekuwa mkeo
 
nakuun
Yani ni kweli mtu aandike details zote hizi kwenye chating??.

Na kutoa hadi takwimu na idadi ya wanaume aliotembea nao?? Plus alichofanya na kulipwa jana usiku??

SOMETHING IS NOT RIGHT HERE, NACHELEA KUSEMA KUWA SIJAMINI KILICHO ANDIKWA, Ila neno langu sio sheria.
ga mkono, hii ni hadithi ya kufikirika ninavyo mimi. Pia mke ana mshahara wa 180,000, lakini ana vitega uchumi kibao vinaingiza daily...5000*20days ni 100000*6 vitega uchumi 600000 kwa hesabu ya chini.Ahsante kwa hadithi ya ulongo
 
Back
Top Bottom