strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,313
Pesa ya madafu
Mkuu siyo US$Pesa ya madafu
Hiyo steering au sterling ndio mambo yote.Huenda wakati wanakutana alikuwa na decent girl ambae alipigwa chini kwakuwa hazungushi sterling.
Ni kweli bidada, dunia ina mambo mazito, mimi kuna story nilipewa last week mpaka leo nahisi ni kama maigizo... Majumba ya watu yamebeba mengi mazito. Pole kwa mwinjilistKuna Watu huwa hawapendi kuamini ukweli kwa kuwa hayajawakuta... Dunia hii Ione ivi ivi..mbona ya kaka hayo Ni Mdogo???mfano..kuna Dada namjua Na Hata ukipewa Picha yake kwa anayomfanyia yule Mbaba Boss wa Bank KUU hutaamini..to cut the story short..Dada baada ya kumfumania mumewe wa ndoa Na maid wa harusi yao alianza kuishi maisha kisela
Akapata Serengeti boy ambaye hana uwezo kivile.Yaani mission town Boy....Baadae akampata Mbaba..Yaani Watu wa Mjini wanaita Mfadhili..Mbaba wa Watu akambadilishia maisha atake nini Ni shost yule..Lakini kwa kuwa Mbaba lazima narudi kwake Sometimes (nae mke walitengana)Basi yule Serengeti boy huna kama kwake Na kuvaa pensi Na kufanya shughuri zoote za nyumbani kama yeye ndo Faza house..You know what..Akanisimulia kwamba kuna siku Mtoto wa Dada ake wa form 3 anayeishi naye pamoja Na msichana wake wa kazi Na Mtoto wake Mdogo wa darasani la 2 walimkalisha chini kama kusema mama kwamba hawamtaki Uncle T wanamtaka Yule Mbaba anayekujaga.Maana anawajati shopping ada Chakula Maana akina huna Na.kila kitu Na huwafuatilia shule.huyo Uncle T mwingine akija Ni mikwara Miingi Na ubabe nothing to offer and alike.Jamani nilichoka..nikamuuliza what if Mbaba akina ghafra usiku akasema huwa hajagi bila kumwambia Nikamwambia usijidanganye wanaume are very smart..akasema Anamwamini saaana saaana Maana Mara zote yupo home..Na akasema Hata ikitokea akina mchana akimkuta Nikamwambia Ni.Kijana namtumaga au kwa kuwa yeye Ni MTU wa chama ana cheo kwenye kata pia ni mwanasiasa huyo Dada eti atadai Ni mwanachama..but.nilimuasa atakosa vyote pia anaweza kuuawa huyo Baba sio mjinga anavuodhani..Anachoogopa huyo.kaka akimuacha kizembe atamvurugia kitumbua chake Ni bora ivyo ivyo. Kumbuka Serengeti anamjua huyo baba.Na.Anajua anakula vya Watu but kwa kuwa hana hela Na pia alikuwa wa kwanza Kabla ya Mbaba anakomaq Na Anachukia sana anachofanyiwa but Dada Anataka maisha mzurii..Kumbuka Serengeti ana mpaka mapichaa kama ya yule Lydia. Hapo unasema Ni story.Jamani mambo Haya ukiyasikia au ukiambiwa shukuru umejifunza kitu au kama huamini unapita kimyaa.But Yanatolea sana..Humu hatujuani wala hatupewi.Zawadi kwa kuandika Insha udanganye kwa faida gani..Better believe it or leave it.
TOKA NDUKI HAPO SIO MAALA PAKO!Wapendwa hamjambo?
Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.
Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.
Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu
Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.
Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.
Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.
Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?
Hebu fanya kile unachoona kuwa kitakupa amani ya akili.Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?
Mkuu huo ni mtihani mkubwa Sana, ila i"m sure hawezi kuacha hiyo Tabia. For sure, labda aondoke mazingira ya kazi hiyo kabisa.Wapendwa hamjambo?

Mkuu...Ndiyo maana kampelewele amesema ni kaa la moto kulimeza utaungua kulitema utamu utaisha.
You got it man.Mkuu...
Kwanza niseme kijana anapenda mteremko, kijana anapenda unafuu, kijana alivutiwa na vitu vya mkewe.
Then.....
Hivi inawezekanaje kweli ujue unachapiwa, kisha ushahidi unao na mbaya zaidi unapo enda kushtaki kwa wazazi eti unatoa option[emoji34]
Kwanza jamaa alitakiwa aende kwa wazazi wa mkewe akiwa tayari amekwisha fanya maamuzi, na kitendo cha kwenda kwa wazazi wa mkewe alipaswa awaonyeshe ushahidi wa binti yao na kisha atoe maamuzi yake na aondoke.
Baada ya kufanya hicho ambacho nakiita hatua ya kwanza, hapo angesubiri aone impact impact ya maamuzi alio yachukua. Then ndipo aje hapa atupe fully ubuyu, na kilicho jiri na ndipo tumshauri.