Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,880
- 5,725
Habari members wenzangu
Nimekuja kwenu kuomba ushauri mbali mbali kisha nichanganye na zangu
Nina miezi sita sasa tangu nimefunga ndoa na mwanamke niliekuwa nae katika mahusiano kwa miaka miwili.
Nilichokuja kugundua ni kuwa muda wite wa mahusiano yetu alkuwa akiigiza tabia.
Kwa sasa ameonyesha tabia yake halisi
Ni mwanamke asietulia nyumbani, ana magroup ambao yana jinsia zote yaani wana kijiwe chao, zamani alikuwa anaaga kwanza kabla ya kutoka nyumbani ila kwasasa haagi kabisa, pia hana mawasiliano na mimi mpaka nimtafute.
Najiuliza je amepata mbadala wangu au marafiki zake wanamuweka busy mpaka ananisahau?
Naomba ushauri nichukue maamuzi gani?
Kama kuongea nae naongea nae ila anaacha kwa muda kisha tabia inajirudia.
Naombeni ushauri wenu.
Wakakilisha.