Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Au ni wewe? Maana sijakua na imani kama navyoona inaweza tokea hapa wa imagination.
Ha haa sasa ndo uanze kua na imani kua yuko mwanamke sahihi mahali anakusubiri. Muombe Mungu akukutanishe nae

Ila swala la kukata tamaa hilo liondoe kabisa
 
Ulikimbilia kuoa mzee bila kuchunguza maisha yake, ndiyo hivyo tena. Hata kama utaamua kuishi naye ukikumbuka ya nyuma utapata stress. Labda tu wewe na mke wako muamue kuwa wacha Mungu ndiyo angalau kutakuwa na uaminifu kwenye ndoa yenu. Pili mali alizonazo ni za laana ambapo na wewe umeshiriki pia. Kumpiga mke wako haikuwa suluhishi bali kuongea naye. Imagine ungemuua, ungekuwa wapi leo.
 
Duuu pole sana mkuu hapana chezea kuliwa mkeo au mumeo , najua una maumivu kiasi gani ila mkabidhi Mungu mapito yako naye atafanya. ukiweza samehe ila omba neema ya Mungu imfunike mkeo ili aweze kuachana na ufirauni wake.
 
Awezi kuacha matendo kama ataendelea kwenye hiyo ofisi achague moja kama ulivyo mwambia amini mawazo yako jombaa
 
Pole sana Mkuu,,,,,,,,,,,inawezekana katika aliotembea nao kuna mtu anamfanya mke kabisa ndo maana anasema anaondoka.

Shangazi yake atakua anamsupport katika hilo sio mtu mzuri
Ni kweli kuna "loyal customer/s" ambao watakuwa kila mara wanapitia na hivyo wale wateja-wake-wakudumu itakua ngumu kuwaacha au kuwakatalia
 
sijasoma page zote...mtoa mada kapime kwanza uijue status yako ndio ushauri mzuri utafuata baada ya hapo,mfano ukikutwa tayari basi endelea nae tu maana hakuna namna,ukiwa umenusurika basi unaweza kufanya maamuzi mazito.Kapime kwanza urudi ulete mrejesho mwinjilisti

Nami nashauri kuwa kujua Hali yake Kiafya iwe ni hatua ya kwanza kabisa ya kuchukua kabla hajafanya chochote. Magonjwa kama HIV pamoja na Hepatitis B.... Duhhhh Pole Sana Sana kaka....Lakini pia kuna cha kujifunza hapo ... Pale ulipo-admit kuwa kilichokuvutia pia kuwa na huyo mwanamke ni aina ya mafanikio aliyokuwanayo.... Kama gari, mapesa, vitega uchumi .... Mfano wa wafanyakazi wa TRA/BOT etc.... Bila kufanya utafiti kiasi cha kutosha na kujiridhisha bila Shaka vyanzo vya mapato vya wenzi wetu wa maisha vinatoka wapi hasa.....!!!!?
 
Back
Top Bottom