Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Akuu siji ng'odoUkudje mala moya
Akuu siji ng'odoUkudje mala moya
Kaka sema na moyo wako.. Kama upo TAYARI kuvumilia haya Kama umeshindwa bwaga manyanga... Pole Sana.
....ushakuwa mkubwa weye atii!!!....tunachafua sredi ya watu....af ukujeAkuu siji ng'odo
Keep waiting....ushakuwa mkubwa weye atii!!!....tunachafua sredi ya watu....af ukuje
Tatizo huyo mkewe tayari ni addicted na hiyo biashara,hata kama ataahidi kuacha lakini bado kuna hatari ya kufanya huo mchezo,namshauri mmewe aongeze mke tu.Pesa sio kila kitu, amani na furaha ya moyo ndio kila kitu. Mshukuru Mungu amekuonyesha unaishi na mtu wa aina gani. Mtoto atakuwa tu, huwezi kushi kwenye uhusiano huo kama roho yako haiko tayari.
[emoji106]Keep waiting
Mrembo za long time mamii,hata mimi nafikiri hivyo hivyo ila sitampa mdomo wangu tena.kwa mafano mimi ningekuwa wewe ningemwacha aendelee huku nafaidi pesa zake ........... ilakakwambia ukweli anauza nyapu na hawez kuacha kuuza
Wewe sio aina ya binadamu kabisa yani umejitusu kutoa huu ushauri kabisa yani. Omba mungu yasikukute uko nyuma ya keyboard unapost tuu ndio maana huu uchungu na maumivu huwezi yasikia.Acha hizo wewe, mke haachwi kilaisi hivyo!! Kwani kabla hujui ulipungukiwa nini? na sasa hivi unajua umepungukiwa nini? Asilimia kubwa wanawake kwenye ndoa wanatafunwa njee, Na watu hawajui so potezea ila mwambie kile kinachopatikana kionekane home.. Na asiache kutumia condom.
Bila kusahau tabia ya wazungu ni chafu sana,inawezekana akaja kukuletea magonjwa yasiojulikana duniani.Anaweza kuondoka na mzungu wewe unangoja mke arudi kazini.
Lakini usisahau hizo pesa za majaboz ndio zilimvutia jamaa.Achana naye haraka sana, piga chini huyo ni shetani. Angalia mwanao tu. Wasichana mbona wapo wengi tu hawajaolewa na wanatafuta wanaume. Jipe muda Mungu atakuonesha mke mwingine, ila kwa huyo alishakubuhu kwa uchangudoa.
Ndiyo maana kampelewele amesema ni kaa la moto kulimeza utaungua kulitema utamu utaisha.Nimeishia kucheka tu aiseeee.....
Hapa sioni la kuku shauri.
Kwanza fanya maamuzi ambayo wewe unaona ni maradhio ya moyo wako, kisha ukuje hapa jamvini na mrejesho wa reaction baada ya maamuzi utakayo yafanya.
Hapo ndipo naweza sema lolote aiseeee