Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Miongoni mwa sababu za BP ndo hapo ndugu...Kama ni kweli... Kuna kazi lakini mwenye maamuzi ni wewe
 
Huo sio uhusiano na wala ndoa haiko hivyo. Na usijidanganye eti ataacha hayo matendo hakuna kitu kama hicho amezoea huyo. Fanya hima aache kazi la sivyo MPE nafasi ya kukaa mwenyewe kwani shida iko wapi hii mikataba ya ndoa sometime inatufunga hata kwa matendo mabaya. Huyo shangazi MTU anafurahia vijisenti ila siku yakimkuta huyo Mke wako watamkimbia
 
Hapo kazi unayo mkuu, huyo alishazoe hiyo tabia, mpaka kunyonya dushe, kuna uwezekano mkubwa amegawa hadi tigo, maana wazungu ndio mambo yao hayo. Hata ukimwachisha kazi kwani mtaani hawapo. Kikubwa tafuta mke mwengine.
Tigo lazima.
 
Wapendwa hamjambo?

Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.

Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.

Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu

Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.

Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.

Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.

Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?
ukipenda boga........
 
wanawake wetu hawa hasa wake zetu wanapata pesa zai katika mazingira ambayo ya ajabu sana

dogo hapa unachanganya kati ya upendo na sex

papuchi ni papuchi tu usishtuke mke wako kutoa papuchi kwa ajili ya maisha yenu as long as anakupenda wewe endelea nae tu

YES anakupenda ndio maana anakulinda kwa condom anafanya hivyo kwa ajili ya future yenu na wanawake brother wanakuwa wana malengo na yale malengo yake yakikamilika huwa wanaacha hiyo michezo... mie nina mifano mingi tu naijue

kuna wanawake wanavuliwa chupi huko maofisini ili mradi tu wapate kazi na kupanda cheo WHY?? kwa sababu wanataka kutengeneza maisha yao na familia zao

so mkuu kuna watu watakuja hapa kukwambia kuwa muache kumbe wao wake zao wanabanduliwa na mabosi, wengine wanabanduliwa na mangi wa dukani, wapemba na madereva taxi

issue ndogo sana hii wala usihangaike mpende mkeo na usipende sana kumchunguza
Kweli wee umepewa limbwata yaani wamekutia kwenye chupa kwako umalaya ni issue ndogo?? So issue kubwa ni ipi??
 
Leave her immediately, don't waste even a second, she's not a wife.
 
Ha haa sasa ndo uanze kua na imani kua yuko mwanamke sahihi mahali anakusubiri. Muombe Mungu akukutanishe nae

Ila swala la kukata tamaa hilo liondoe kabisa
Mamaaa naona unaingia kilaiini hahahaaha hapo lazma unyakuliwe
 
Wapendwa hamjambo?

Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.

Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.

Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu

Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.

Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.

Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.

Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?
Be safe. Stay sober make the right decision. Huyo mke atakuua hata kwa sumu kama siyo kwa magonjwa
 
Mkuu hiyo ngumju kumez alakni usisahau shetani awezi kuwa malaika na ukimlazimisha atazuga mwisho wa mchezo majuto huja kwako...
 
Back
Top Bottom