Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Muache tu wewe....usikubali kuendelea naye,kashaanza haachi huto mkuu

by emma mjasiriamali
 
Pole sana, ila samaki hawez kuishi nchi kavu

et al
 
Wapendwa hamjambo?

Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.

Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.

Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu

Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.

Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.

Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.

Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?
In shot hii ni story imesomwa sana mwaka ulopita ila inatufundisha kuwa kabla ya kufanya maamuzi makubwa fanya uchunguzi wa kina, tafakari matokeo ya uchunguzi kwa kina fanya maamuzi sahihi.Pia chochote ukisha kitilia shaka hakitakuacha salama even chakula ukihisi ni kibaya au ni hatarishi kwa afya yako hata kiwe ni salama ilhali ushatia shaka lazima kikuumize tumbo kutokana na ile kutia kwako shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah pengine hata huyo mtoto sio wako...kiburi huyo mwanamke na mungu ameamua kukuonesha unaishi na malaya mzoefu sasa baba ulikuwa hustuki tuu engine ina makombo ya wazungu na kila mwenye laki, yaani hata mimi hapa nikiwa na laki nakuja kumbiduabidua namfanya nnachotaka tena namuongeza na laki ingine kama nataka backdoor, huyu mwanamke mchafu brother hakufai by professional kazi yako una uwezo wa kutengeneza pesa kuliko huyu bitch.....achana nae......maana inawezekana hata shangazi yake nae Muuza Papa.
 
Wapendwa hamjambo?

Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.

Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.

Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu

Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.

Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.

Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.

Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?
Kama kuacha kazi hawezi na kazini ndio anakofanyia hiyo michezo yake michafu bila shaka hata kuacha kulala na hao wageni hawezi acha pole sana mkuu
 
Ww fala nn? Kwani inaisha? Yy kashasema huwa anatumia kinga, kwani ww hupigi nje? Hutumii kinga? Acha undezi ww, mwache wenzio wale kilaini. Muwekee lengo kila siku aje ngapi.
 
Umefanya kosa kugombana naye maana hawezi hata kufikiri kuacha hiyo kazi. Umemkuta hivyo na utamuacha alivyo. Wewe ungelenga mapesa yake tu uyachukue yakusaidie kulima vitunguu kisha unaachana naye. Hata huyo mtoto hawezi kukaa kwako. Kwa mtindo uliomkuta nao na watu anaokutana nao wewe amekupenda tu bila hata chochote. CHUKUA HELA ACHANA NA MAPENZI

Sent using Jamii Forums mobile app

Ushauri wa kilevi.... Yaani Kama una pesa na unampemda huyo binti, achana nae uwe unaenda kumnunua Kama wateja wengine.... Ila kwa tabia hiyo humuwez. Huyo mtoto ni wa kwako kweli??
 
Ndo mkome kupenda mteremko me nilishakoma na kumuhachisha wife kazi siku iyoiyo alipata kazi kwa wahindi akawa anasimamia stoo ya vifaa vya ujenzi kweli alikua anapiga hela maana kuna siku alikua anaagiza gari inaleta sment mifuko hata 30 tunauza na hela nachukua mimi lakini siku nashika simu yake nilikutana na sms ya muhindi bosi wake akiomba mzigo wife akamjibu nipo kwenye siku zangu iliniuma sana japo na mimi nimchepukaji mzuri nilimtwanga kwa mara ya kwanza na kazi ndo ilikua mwisho kakaa nyumbani miaka miwili mpaka juzi ndo nmemfungulia ofice lakini nako bado nakua sina amani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka em jiongeze.
Huyo hawezi kuacha hiyo kazi ya kuwaburudisha wateja na ndio maana kasema hawezi kuacha kazi.
Kwa mtu ambae analipwa laki na 80 kwa mwezi na ana vitega uchumi vingi ni kwa nn aseme hawezi kuacha hiyo kazi isiyo na maslahi?
Kwa nini asianzishe miradi mingine pamoja na hiyo aliyonayo ili asimamie?
Tafakari....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili mbona dogo.....kuna mmoja yeye ni manager wa lodges ......huyo kila mwenye lodge anapo fungua logde mpya ana hama nae.....Dada alisha olewa na ana mtoto. Dada kapewa mtaji ampe mumewe,mume kanunua gari la kazi...maisha yanaendelea...。 Mume anajua mwenyewe anacho kiwaza
 
Achana na huyo mwanamke, unless unamtegemea kwa kuendesha maisha yako. Jihadhari maana maradhi yanakunyemeleeni na mtakufa na hizo pesa mtaziacha na mtoto akihangaika. Bora we jiweke pembeni mwache afanye ukahaba maana kachagua ukahaba over you, stand as a man ili siku yakimfika ya kumfika ubakia ukimlea mwanao. Take it or leave it and regreat later.
 
mswahili ww mpe hela tu atakusifia hadi kinyesi chako kinanukia ndo huyo aunty anapokea misaada ndo maana anatetea uovu
ww piga chini mchukue mwanao ukiwa seriuz atakua kwenye maadili mazuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ni kweli mtu aandike details zote hizi kwenye chating??.

Na kutoa hadi takwimu na idadi ya wanaume aliotembea nao?? Plus alichofanya na kulipwa jana usiku??

SOMETHING IS NOT RIGHT HERE, NACHELEA KUSEMA KUWA SIJAMINI KILICHO ANDIKWA, Ila neno langu sio sheria.
I second you, mkuu.
 
Back
Top Bottom