Follow your heart. maana umeshasema huwezi ishi bila yeye so chukua hatua ya kusamehe naamini hata yeye atakuwa amejifunza kitu na kama kuna mahali ulikuwa humtendei haki akatoka rekebisha. Mungu atawasimamia maana mara zote anapenda mapatano. Kusamehe hakuna ukomo na haijalishi aina ya kosa. Mrudishe mkeo na maisha yatakuwa mazuri